Kuna uzi unaletwa humu muda si mrefu kwa ajili ya malalamiko,si unajua tena hawa jamaa ni watu wa kutafuta kinga mapema,na leo wamedhibitiwa hawataweza kulipua mabomu yao ili uchaguzi uhairishwe tena.
ni kwamba umekimbilia kuandika ili ukamilishe hesabu ya buku 7 au ndio upeo wako ulikofikia? Maana umeandika madudu tu hapo. Ndio maana watoto wetu wanafeli.
uyole 12; Hata mimi nimeshindwa kuelewa, labda vyuo vya Tanzania vinatoa mafunzo tofauti kuhusu maana ya 'BREAKING NEWS', 'HARD NEWS' na 'OPINION' kinyume na inavyoeleweka kwa ulimwengu mzima!
pole sana binti minilijua matokeo yameanza kutolewa baadhi ya maeneo kumbe ni redio yako ndo imetoa hiyo breaking newz
katafute bwana uolewe .............