CCM kuibuka kidedea uchaguzi Arusha

Ongea tena wewe kijani
 


Naibu waziri wa habari anaposema "tunasubili" ni aibu.
 
No siamini katika kuuana, nazungumzia katika muktadha wa the struggling for existence, surviving is only for the fittest, sasa to fit you have to be adaptive kwenye mabadiliko yoyote, vinginevyo huwezi ku fit, usipo fit you just perish.
Paskali
Paskali,
Sijui nini watasema watu wa Norway ukiwaambia kuwa walimuonea Quisling
hakustahili adhabu ya kifo kwani ''he was struggling for existence...''
 
Paskali,
Sijui nini watasema watu wa Norway ukiwaambia kuwa walimuonea Quisling
hakustahili adhabu ya kifo kwani ''he was struggling for existence...''
Hakuna binadamu yoyote anayestahili adhabu ya kifo. It's inhuman, barbaric na Dhambi ya mauti.
Paskali
 
Paskali,
Mtu akiua asiuliwe?
Allah kasema mtu akiua kwa makusudi na yeye auawe.
Nje ya mada. Ndugu yangu Mohamed ningependa kufahamu. Wakati mzee Samitungo anahamia Tanzania toka huko alikotoka, alikuwa muislam au kasilimishwa baada ya kuishi na waswahili!
 
Nje ya mada. Ndugu yangu Mohamed ningependa kufahamu. Wakati mzee Samitungo anahamia Tanzania toka huko alikotoka, alikuwa muislam au kasilimishwa baada ya kuishi na waswahili!
Gagnija,
Wamanyema wameupokea Uislam kutoka kwa Waarabu waliongia Manyema
miaka mingi nyuma.

Umezungumza kuhusu Waswahili.

Wamanyema wao wakijichukulia kama Waswahili na wakijjita, ''Walungwana,''
yaani, ''Waungwana.''

Kwa hiyo babu yangu yeye alikuja Tanganyika baadae sana baada ya Wamanyema
kuingia Tanganyika miaka mingi nyuma.

Muyukwa Samitungo Mwekapopo aliingia Tanganyika akisema Kiswahili na
Muislam.

Yeye alikuja kama askari mamluki wa Wajerumani kuja kupambana na akina Bushiri
bin Harith
na Chief Mkwawa.

Hii ilikuwa mwishoni mwa 1980.
 
Bila shaka ulimaanisha 1890. Nashukuru kwa taarifa.
 
Juliana naheshimu utabiri Wako uliyatabiri haya na yakatokea,Big up binti mrembo na mchapa kazi nakukubali sana,ningekua sijaoa ningekupa zawadi kwa kukuoa hahahahahah
we sema unataka kummwagia upako usepe...
hujaona pa kutafuta tulizo?
Juliana Shonza
 
hapa ulikuwa umeshazaliwa auuu mzee ndo alikuwa anatongoza??😵🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…