kongomboli
Senior Member
- Apr 11, 2011
- 156
- 35
nasikia walikuwa wakukodikwani hamkuona wale jamaa walivyokua wakimlilia Rostam?.....jamaa kawaambia amejivua gamba, watu wanaimba "hatutakiii, hatutakii"....we unafikiri CCM wanahitaji kuiba kura hapo?.....mbona its obvious.....mnazijua akili za watanzania au mnazisikia tu?
Fikra finyu kabisaTuibe zanini...sisi tuna WAtu wakupiga KURA siyo wahuni wa kushangilia....IGUNGA ya CCM milele...CCM oyyeeee
Kuwa na wasomi wachache na matatizo mengi inatakiwa iwe chachu yenu ya kukataa utumwa mliokuwa nao wana Igunga!Poleni na mpambane kudai haki yenu!una maana gani kusema "watu wa igunga wana uelewa mdogo???" acha izo mtu wangu hata kama wilaya yetu ina wasomi wachache tusaidieni sio kututusi kwa wewe una elimu gani uropokaji na ujuaji wa chadema hukohuko .STUPID BOy!!!!!!
Usijali ndugu ukombozi una muda wake ukifika tutajikomboa tu!Fikra finyu kabisa
Anayedhani kuna kura ziliibiwa ni mwendawazimu tu na hana kumbukumbu, tazama CCM ilikuwa na sababu gani ya kuiba wakati hata sehemu ilikopoteza waliopiga kura ni wana CCM. Acheni utetezi kabla hata mchezo kuanza. Tafuteni kingine IGUNGA ni ya CCM.
Kuna tetesi zimeenea eti Dr. Slaa ataenda kugombea Igunga. Ni kweli?
Mchungaji na wewe kwa kurahisisha mambo!!Dr Slaa atagombea urais kwenye uchaguzi mdogo, Kikwete anajiuzulu
upo sahihiCCM na wizi wa kura ni kama chupi na makalio
kwani Dr. Slaa ni Mwaarabu? Nackia watu wa Igunga hawaki kuongozwa na wanyamwezi.Kuna tetesi zimeenea eti Dr. Slaa ataenda kugombea Igunga. Ni kweli?