CCM kufungua TV yao...katika kukabiliana na upinzani

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
37,480
78,732
chama cha mapinduzi a.k.a chama cha MAGAMBA..wanatarajia kufungua Tv yao..itakayo kwenda kwa jina la UHURU TV
watu walioteuliwa kusimamia na mpk kukamilika kwa Tv hiyo ni
1.Abdalahman Kinana
2.Zakia Meghji na
3.Wiliam Lukivi

Source:MTANZANIA

ANGALIZO:..sasa CHADEMA..nao waanze mchakato wa kuwa na Tv yao
pia je hiyo Tv walengwa wao nani hasa?
 
Ningepata maumivu ya kichwa kama kusingekuwa na station nyingine.
 
Chadema tunahitaji PEOPLES POWER TV. nipo tayari kutoa 1m kwa instalment ya kilo mbili kwa miezi mitano kufanikisha hilo. Mh Zito na RAIS wangu Slaa plse fanyeni hima!!!
 
Wanataka kuwa nazo ngapi? Hizzi walizo nazo hazijawasaidia kuanzia TBC1 na nyinginezo? But who cares achana nao wafurukute mwisho wa yote wataumia tu!
 
<font color="#0000ff"><b>TV Billicans</b></font> <font color="#ff0000"><b>and Cassino</b></font>
<br />
<br />
hata zikiweje peoples power lazima tuwachape tu magamba!!!!2015 hamfiki nyieeeee
 
Wanajaribu ung'ang'anizi wa kuendelea kuwahadaa watanzania. Kinachotakiwa ni maendeleo ya nchi na sio kuonyesha manyago yao.
Angalia nchi zenye maendeleo duniani vyama vyao vya siasa avijiendeshi kwa kutumia Tv zao binafsi na jambo hilo alimo katika
ajenda ya chama chochote kikubwa cha siasa katika Dunia hii. Hao ccm bado wapo katika mfumo uliopitwa na wakati wa kikomunisti wa
chama kimoja cha siasa na kujichukulia madaraka ya kufanya biashara, hicho ni kinyume na mfumo wa vyama vingi. vichwa vya hao
viongozi wa ccm vimefikia kikomo cha mawazo nashangaa kwa nini wanashindwa kuwaza jambo zuri ambalo ni la kuleta maendeleo
na kuwatowa watanzania katika hali ngumu ya maisha iliyokithiri. kiongozi wakati wote uwe na swali la kujiuliza kwa kitu chochote
ambacho akiendi sawa na kukipatiatia jibu sahihi kutoka katika kichwa chako na vile vile mawazo ya wengine ukijumlisha mnajenga
kitu kimoja kizuri sana. Maendeleo is to bring out your idea as a leader and to create in a team work. Kwa nini nyinyi viongozi wa ccm
mnashindwa kufikiri njia ya kuleta maendeleo. kama amuwezi igeni mambo yaliyokuwa mazuri maana yake vichwa vyenu vimekwama
katika kufikiria utajiri wa haraka haraka na huo ndio ufisadi wa kuwaweka watanzania katika hali mbaya zaidi.
 
chama cha mapinduzi a.k.a chama cha MAGAMBA..wanatarajia kufungua Tv yao..itakayo kwenda kwa jina la UHURU TV
watu walioteuliwa kusimamia na mpk kukamilika kwa Tv hiyo ni
1.Abdalahman Kinana
2.Zakia Meghji na
3.Wiliam Lukivi

Source:MTANZANIA

ANGALIZO:..sasa CHADEMA..nao waanze mchakato wa kuwa na Tv yao
pia je hiyo Tv walengwa wao nani hasa?


NDO MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA???
huku sasa ni kutapatapa
 
Ivi walikuwa wapi muda wote huo sa ivi ndio wanakumbuka shuka? Na ole wao alokuwa hajaiba mpaka sasa hatoiba tena. Baadae mali za umma wataziogopa tu, chukua chako mapema itaisha tu!
 
Chadema tunahitaji PEOPLES POWER TV. nipo tayari kutoa 1m kwa instalment ya kilo mbili kwa miezi mitano kufanikisha hilo. Mh Zito na RAIS wangu Slaa plse fanyeni hima!!!
<br />
<br />
Hizo fedha wapelekee watoto yatima utapata swawabu nyingi sana. Tena watawaombea dua mshinde 2015
 
Inachekesha sana jinsi wanavyotapatapa na kupapatika wameshafanya mapping kwani wakajua viewers watakuwa wa aina gani na wangapi kwa sababu kama hawaamini air time wanayopewa na TV zote zilizopo naamini mambo yamekuwa magumu sana kwao ,wanakazi kubwa
 
Inachekesha sana jinsi wanavyotapatapa na kupapatika wameshafanya mapping kwani wakajua viewers watakuwa wa aina gani na wangapi kwa sababu kama hawaamini kaz wanayo na bado n jtiada za wfa maj
 
Back
Top Bottom