Mfalme_wa_Nyika
JF-Expert Member
- May 24, 2023
- 684
- 1,541
Hii nchi washaifanya kama ya bibi yao, ila kweli Lissu fundi na kiboko yao...CCM wanajua huu uchaguzi sio mkuu bali uchaguzi wakiduwanzi kuwahi kutokea....
Sijui watashangilia kuwa wameshinda uchaguzi kutoka kwa nani!? Yaani wamemshinda mpinzani gani!?
Hili ndo linawauma ccm na Lissu kapiga kwenye mshono....
Raha ni kwamba serikali hii ijayo itakosa uhalali wa halali kabisa kutoka kwa wenye nchi hii na pia uhalali wa wazi kutoka jumuiya ya kimataifa....
Mjiandae kwa misaada kusitishwa pia mjiandae na tozo na kodi mpaka za kichwa kudayafa mpaka wote mtaenda barabarani siku moja
Nimemaliza.