CCM kufanya press conference kesho

Mwenye ushahidi aupeleke mahakamani eeeeeh kweli UKAWA ni genge la wasakatonge.
 
Mm najua tu kwamba wanakuja kutuambia kuwa Nyerere alisema rais bora atatoka ccm na ss lowassa katoka ccm kaenda chadema na ndie rais ajae watake wactake
 
lowasa kajimaliza mwenyewe,waliomdanganya kwenda kwa hao mafisadi wenzie hv sasa anachekelea tu
 
Nilikuwa na shauku ya kuona uso wa Dr Slaa kwenye hafla ile, kama umetakasika baada ya kuongoza kwa mipasho ya kumpaka El, lakini leo hii anaonekana ni malaika!!?

Waandae nguvu za ziada na dodoki la chuma ili kumtakasa kwa jamii masalia wao. Sababu ya mkato kuwa ufisadi ndani ya ccm ni mfumo na sio watu hauna tija wala mvuto.
 

Yan kama mgombea wao ni lowassa, tutashuhudia ccm kukubali midahalo kwa mara ya kwanza.
 
Ccm Wameisha chelewa utawasikia kesho wanavyo jing'atang'ata.
 

Hahah meipenda hiiii
 
Mtasema"yale mafisadi ndio yanaanza kuondoka ccm, wanaenda kwa mafisadi wenzao,,,,ccm ni chama imara, hakiwezi kuongozwa na mafisadi" enl amewazidi sn, mmechelewa sn
 
Hao vuvuzela wana mpya gani? yaan JK. Kaharibia watu CV. zao kwa ufisadi wake...
 
ccm si mahali pa wala rushwa ,mafisadi ondoka utuachie chama chetu na kama utazipenda nguo zetu za kijani ondoka nazo... by kinana
 
Mzee wa abiseremaaa alisema kaongea na wagombea wote 38 na wanamuunga mkono sasa haya yanakujaje tena
 

Majb mazur nataman ningekua nakuona unavy ongea ... Tukutane oct......hakuna gol la mkono hapa........shimo wamelcha wenyw watatumbukia wao wenyw
 
Ha ha ha ha haaa bwaha ha ha haaa tutaanzia kampeni jimbo la mtama nasikia kuna panya anagombea ubunge huko... Watanyooka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…