CCM kuchele

Du tangazo la mkutano kwenye tv linasema ni mkutano wa kumuaga mwenyekiti j kikwete !

Tangazo lingekuwa bomba na kuvuta watazamaji kama lingenukuu kauli ya msemaji wa chama chenu mh c ole sendeka na kusomeka hivi karibuni wajumbe kwenye mkutano mkuu wa CCM wa kumuaga mh mwenyekiti Kikwete na sisi wote ambao tupo chini ya mh j kikwete tutang'oka na kumwachia mwanachama mwenzetu mh JP magufuli ateuwe na watu ambao watakakuwa chini yake !
 
Namuonea huruma huyo kijana kwenye picha namba moja /hasa kwa jua kali la Dodoma lakini akikomaa atatoka na ndizi mbivu .......hajui atendalo mungu muhurumie/mpe mwanga
Amina.
Wanaharakati bado mpo? Yeriko Nyerere na Ben saanane wameshatokomea kusikojulikana
 
Namuonea huruma huyo kijana kwenye picha namba moja /hasa kwa jua kali la Dodoma lakini akikomaa atatoka na ndizi mbivu .......hajui atendalo mungu muhurumie/mpe mwanga
Amina.
Mjumbe jamaa ni UKAWA pure anatumia fursa mkuu. Hakuna kijana anayejielewa akashabikia chama cha mboga mboga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…