Frey Cosseny
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 1,984
- 1,405
CCM raha tupu mjini Dodoma kila kona ni Dr John Pombe Magufuli na Dr Jakaya Kikwete naona Lowassa anavyogugumia kwa kilio na hasira.
ukiwa maskini kila kitu haya baba ccm imeharibu watuView attachment 367779View attachment 367780 ccm raha tupu mjini Dodoma kila kona ni Dr John Pombe Magufuli na Dr Jakaya Kikwete naona Lowassa anavyogugumia kwa kilio na hasira.
Kwa hiyo Lowasa anahusika na kikao cha CCM..?View attachment 367779View attachment 367780 ccm raha tupu mjini Dodoma kila kona ni Dr John Pombe Magufuli na Dr Jakaya Kikwete naona Lowassa anavyogugumia kwa kilio na hasira.
Ni mwanachama halali wa ccm hadi 2025Kwa hiyo Lowasa anahusika na kikao cha CCM..?
Wanaharakati bado mpo? Yeriko Nyerere na Ben saanane wameshatokomea kusikojulikanaNamuonea huruma huyo kijana kwenye picha namba moja /hasa kwa jua kali la Dodoma lakini akikomaa atatoka na ndizi mbivu .......hajui atendalo mungu muhurumie/mpe mwanga
Amina.
Huyu makonda amemuona kweli?
Huyo kaibukia Dodoma kumsheherekea mwenyekiti mpya na Makonda hana mandate ya kumkamata akiwa Dodoma.Huyu makonda amemuona kweli?
Huyo kaibukia Dodoma kumsheherekea mwenyekiti mpya na Makonda hana mandate ya kumkamata akiwa Dodoma.
Mjumbe jamaa ni UKAWA pure anatumia fursa mkuu. Hakuna kijana anayejielewa akashabikia chama cha mboga mboga.Namuonea huruma huyo kijana kwenye picha namba moja /hasa kwa jua kali la Dodoma lakini akikomaa atatoka na ndizi mbivu .......hajui atendalo mungu muhurumie/mpe mwanga
Amina.
Namuonea huruma huyo kijana kwenye picha namba moja /hasa kwa jua kali la Dodoma lakini akikomaa atatoka na ndizi mbivu .......hajui atendalo mungu muhurumie/mpe mwanga
Amina.
Wameshalala mbele CCM muziki mzito hawauwezibavicha si mlisema hamtarudi nyuma?? vipi imekuwaje??