CCM kuchagua moja Bumbuli au UKAWA

CCM kuchagua moja Bumbuli au UKAWA

Toa hoja punguza jazba...

wewe ndio una jazba BORA UPOE
umeambiwa hata katika 20 bora ya waliotia NIA hayumo
umeambiwa habari za wizi wa mtihani huko Tanga A' level
unaambiwa hajasaidia katika Mitandao kwani ndio KAKANDAMIZA hasa ili itiliwe saini na itakuwa Sheria kali Duniani pote kuperuzi Mitandao, ukutwe na sms, picha kideo nk umetumiwa ni kosa na JINAI na UHAINI

akajipange tena, tunataka wazoefu katika NDOA

Majibu ni kesho tnawapata 5 Bora hao ishirini tayari wameshapembuliwa
 
wewe ndio una jazba BORA UPOE
umeambiwa hata katika 20 bora ya waliotia NIA hayumo
umeambiwa habari za wizi wa mtihani huko Tanga A' level
unaambiwa hajasaidia katika Mitandao kwani ndio KAKANDAMIZA hasa ili itiliwe saini na itakuwa Sheria kali Duniani pote kuperuzi Mitandao, ukutwe na sms, picha kideo nk umetumiwa ni kosa na JINAI na UHAINI

akajipange tena, tunataka wazoefu katika NDOA

Majibu ni kesho tnawapata 5 Bora hao .
Suala la mtihani sio hoja ya kumfanya akose nafasi ya kuwa kiongozi bora.
Mbowe alipata ziro form six but now ni mwenyekiti wa chadema
Muhongo alifeli shule mara tatu Darasa la saba now ni profesa
How many time dyu trying before to give up ther is no success in comfort zone.

Kuhusu Tano bora hatuna mashaka nalo jiandae tu kuchekea chooni,

Cyber Act sio adhabu ni sheria kama sheria nyingine ila itapunguza nafasi ya umbea no data no ryt to speak , mchakamchaka wa maendeleo unaanzia hapa unapata muda wa kuwasema watu vibaya lakini muda wa kulima hakuna.

Tunaimani na January mtaa umemtuma
 
Aaahhh nimependa majibu yako MASSANGE watanzania hatuna mda wa kufanya vya maana ni kazi ya kufanya upuuzi kwa mitandao
 
Last edited by a moderator:
anaonekana kuna kutu anacho kikwani kuriko wale wa mchamchaka
mchakamchaka mchaka!!!!!sijui ule wa jeshini ulimnogea sana .

Ccm mwaka huu lakuvunda halina pafumu. Hata huyu naye? Si ndo waliyemwambia aote kwanza nywele?
 
kusema ukweli kabisa wa moyoni januari, H. kigwa..... na mwigulu wako vizuri sana. wale mliowasikiliza juzi mtakubaliana nami kwenye hili.
 
Hawa wamebeba theory zao vichwani wanataka tuwape nchi!? Wakato......ne huko.
 
KWANINI TUNAMHITAJI JANUARY ?
Zaidi ya 85% ya wafanyakazi na nguvu kazi Tanzania ni vijana walo zaliwa baada ya Uhuru 1961. Nusu ya vijana hawa ni kizazi cha Millenia walo zaliwa miaka ya 1980’s na wana umri wa wa chini ya miaka 35.Hawa wengi ni dot.com generation hawa kuwepo nchi ilipopata uhuru na hasa ilipitia hatua gani hadi kufika hapa tulipo fikia. Hawajui yalio tokea wakati wa kujaribu sera mbali mbali kuanzia ubepari , Ujamaa , liberised economy , hawa kuwepo nchi..ilipokuwa na raha au shida mbali mbali .Wengi hawajui zaidi ya kusimuliwa nchi wakati wa Ujamaa ilikua na ladha gani.wengi wamekuwa na matarajio na mafanikio makubwa hasa kama yanayotokea katika nchi za wenzetu.Utanda wazi unawafanya wawe na matumaini ya kufika sehemu ya kutia moyo kiuchumi na mandeleo ya nchi yao. Wengi wanapenda kuona wana ondokana na foleni zisizo isha, wangependa uwepo wa train za kasi kutoka Dar es salaam hadi Mwanza. Wanapenda kuona nchii hii inakuwa nashirika lake la ndege..pia wanapenda waone elimu inayotolewa iwe ni elimu bora inayo mjenga kijana kuweza kujitolea.hakika matarajio yao ni makubwa mno..Lakini itabaki kuwa matarajio ya vijana hawa na mafanikio ya kiuchumi kwa ajili ya kizazi hichi si hasa ya kutia moyo..yana katisha tamaa na vijana wana punguza uzalendo,wanaingia katika biashara hasi na wamekataa tamaa.
CHANGE.
Tanzania inahitaji mabadiliko ya uongozi –Inahitaji Kiongozi kijana anaye elewa nini wananchi wa sasa wanahitaji.Tunahitaji kiongozi mwenye wivu wa maendeleo mwenye kuona mbali na kuanzas afari ya kuipeka Tanzania katika maendeleo ya kisasa. Kiongozi atae hakikisha vijana wanapata elimu bora kabisa ambayo itawawezesha wenyewe kujiajiri.Kiongozi mzalendo ataeweka maslahi ya nchi mbele kuliko malsahi ya CorporateEntity za nje ambazo lengo lao ni kuzinyonya nchi hizi.
Tumepita miaka 53 sasa ya uhuru viongozi wengi ni wale wale ambao tumetoka nao tangia uhuru na wengine baada ya uhuru lakini mind zao na uwezo wao bado ni wa60’s na 70’s hawa tunawashukuru , wamefanya mengi lakini sasa Taifa linahitaji CHANGE, linahitaji kijana mkakamavu, mwerevu , mzalendo, mwenye uwezo wa kutuvusha hapa tulipo na kutupeleka kuleeeeee...kama alivosema Kikwete leo bungeni.


Viongozi wetu kisiasa

Hali ya kisasa Tanzania kwa ujumla bado ni mabaki ya wakoloni bado sisi ni memba waCommon wealth Jumuiya ya watawaliwa wa Uingereza na ‘Mkubwa’” wetu ni Malkia wa uingereza na akifa ni yoyote katika watoto wa jumba hilo la mfalme.Nchi kama Marekani na Canada –Quebec , Zimbabwe na Gambia walijitoa kwani waliona kuwepo katika Jumuia hii ni sawa ya kuwa chini ya ukoloni mambo leo wa Kifalme waUingereza.

Mifumo ilio wekwa na wakoloni , elimu iliyotolewa viongozi walo tayarishwa kuongoza nchi hizi huru ‘walitekwa kimawazo’ na bado waliendelea kuwa watiifu kwa wakoloni hao. . Wakati wa uhuru,baadhi ya wasomi walijaribu kubadilisha hali hii lakini hawakufanikiwa ama yalitokea mapinduzi ya kijeshi ( nchi nyengine za Kiafrika) au viongozi walijimilikia madaraka na kuweka maslahi yao hivyo wasomi hawa walipata matatizo na watawala. Bado nchi nyingi za kiafrikana Tanzania ikiwamo inategemea sana wale wale walokuwa wakoloni wa mataifa haya baada ya zaidi ya miaka 50 ya kuwa huru.Tatizo hili lipo zaidi Afrika. Nchi zote nyengine nje ya Afrika mfano Malaysia, Indonesia,Thailand,Philipines,Singapore, India, UAE, Oman, zimepiga hatua kubwa za maendeleo kama nchi huru zilizopata uhuru wao miaka sawa na sisi Tanzania.
Wakati Lee Kuan Yew Waziri mkuu wa kwanza Singapore akiibadilisha nchi hio kutoka kisiwa cha wavuvi hadi kuwa moja ya nchi zilizo endelea na viwanda sisi tulibaki wategemezi na moja ya nchi masikini duniani.
Tujiulize kwa nini ? Nchii yetu ina kila kitu
· Watu
· Rasilimali
· Amani
Jee tumekwama wapi ? bila ya shaka tatizo kubwa lipo kwenye
· Elimu duni
· Uongozi wa kikale
· Umimi
· Uzalendo kubaki ni rangi
· Uoni mfupi
Jee nini cha kufanya...
CCM ni chama pekee ambacho kama Taasisi kime jijenga na kinaweza kuamua kuwa sasa Watanzania wanataka Kiongozi Mpya ,Kijana , Msomi mwenye uwezo wa kutuvusha hapa katika lindi la mkwamo wamaendeleo...lakini lazima CCM ifumbe macho katika kuamua, bado masalia ya za kale wapo na wana nguvu za kifedha na support ya watu ambao wana hakikisha status quo inaendelea ili wafaidi keki ya Taifa pekee yao bila ya kujali maendeleo ya Nchi ..
Jee ni nani katika wagombea wa CCM ambaye ndie atakua Lee Kuan Yew wetu ?Bila ya shaka yoyote..ni JANUARY MAKAMBA
Sifa na uwezo anao.Kama kweli tunataka kuondokana na majungu na siasa za 60 na 70 baso January ndio suluhisho.


 
Back
Top Bottom