Hawa wanatapatapa tu, kwani hiyo hela watakayo anzishia au kuwekeza kwenye makampuni ni safi?
Haya yote sasa hivi wanayotaka kufanya ni pasua kichwa ya namna watakavyoishi baada ya 2015.
Hela nyini sana ya ruzuku toka serikalini kwa kuwa na wabunge wengi iliyokuwa inawatia kiburi itayeyuka na kuchota hela ovyo sehemu mbalimbali serikalini na kwenye mashirika ya uma itakuwa ni kikomo, watashikilia makali badala ya mpini!
Picha ya 2016 itakuwa ni movi baaab kubwa ambayo itapiku kwa mauzo picha zote zilizowahi kuchezwa duniani!