MR.DIGITAL
Member
- Apr 24, 2013
- 8
- 2
Naona poucher anapewa mbuzi nadhani kitu cha kwanza atomtoa pembe.Nasikia huyu mzee apatani na pembe kabisa.
Wabunge wa CHADEMA wameshakusanya hela za wajinga kwenye hiyo mikutano yao baada ya hapo wanaenda Bar kujipongeza.

Wabunge wa Chadema wajanja sana! Wamekusanya pesa kutoka kwa wananchi wasiojua janja yao kufidia posho ya vikao vitano walizozikosa.
bora wanaokusanya za wajinga wenye kutaka maendeleo, kuliko wanaotoa ela za kifisadi kununua watu kuja kwenye mikutano na kuwapa wasanii kupiga shoo, jinsi gani hamuwezi kuwavuta watu mpaka mtumie wasanii, cheki CDM, watu wakisia Dr slaa na makamanda wengine wapo watu nyomi. fikiria kwa makini.Wabunge wa CHADEMA wameshakusanya hela za wajinga kwenye hiyo mikutano yao baada ya hapo wanaenda Bar kujipongeza.
si mbunge mmoja kijana alisema bungeni kuwa serikali imevaa miwani ya mbao!?mkuu nakuaminia sana, lakini ngoja vijana wa buku 7 7 wa lumumba wa kinana na nape waje, jiandae na mvua ya mawe,,
unajua mkuu sisiemu mnakosea sana, yaani nyinyi mngejikita katika sera zenu na kutatua matatizo ya wananchi, vyama pinzania kama chadema vingekufa nataural death, unazani wangesema nini??/
sasa tatizo la chamachenu sijui halina washauri au ni ukaidi tu, au ni jadi nyinyi kudanganya, na matatizo haya ya ahadi hewa 68 mlizozitoa 2010 yatawasumbua sana 2015,
timizeni ahadi zenu mlizozitoa kwa wananchi tangu 1992 hiyo ndio njia pekee na salama ya kuzibiti upinzani, tofauti na hapo polisi watajisumbua bure kuzuia na kuua watu
Wabunge wa CHADEMA wameshakusanya hela za wajinga kwenye hiyo mikutano yao baada ya hapo wanaenda Bar kujipongeza.