PreGE2025 CCM Kinondoni yasema Askofu Gwajima ameliachia jimbo la Kawe, ataletwa mwakilishi mzuri

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Tunahitaji aina ya wabunge wenye ujasiri wa kuzungumza na kukemea maovu kama alivyofanya Askofu Gwajima, lakini cha kushangaza kwa CCM watu wa aina hii ni maadui na hawana nafasi chamani mwao

Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kinondoni kimesema Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima ameliacha jimbo hilo, na kwamba watawaletea mwakilishi mzuri, hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Shaweji Mkumbula.

Your browser is not able to display this video.

Video: FLOW MEDIA tz
 
Kwani hayo majimbo ambayo barabara ni mbovu pia hayana wabunge?
Wabunge karibia asilimia kubwa machawa TU
Muacheni Gwaji boy amesemea familia zilizopoteza ndugu
Kwahili Gwajima ni mshindi kabisa
 
 

Attachments

  • IMG-20250611-WA0007.jpg
    93 KB · Views: 17
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kinondoni kimesema Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima ameliacha jimbo hilo, na kwamba watawaletea mwakilishi mzuri.
Your browser is not able to display this video.

source:swahilitimes​
 
Viongozi wanaotakiwa kuonyesha njia ndo hao hao wanapotosha, watu wanatekwa na kuuliwa ila wao wanasema watu hawatekwi na hawauawi kisa wao haijawahi kuwakuta 🗑️
 
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kinondoni kimesema Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima ameliacha jimbo hilo, na kwamba watawaletea mwakilishi mzuri, hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Shaweji Mkumbula.

Your browser is not able to display this video.
 
Yuko anawapimia tu, watakuja kumuelewa very soon
 


Kwa hiyo Mama hajapeleka pesa za maendeleo ya miaka 50 Kawe.

Mama na mdini na mbaguzi sana .
Yaani majimbo mengine mama anamwaga mapesa ya miradi ya maendeleo lakini Kwa Gwajima hapeleki.
Bila shaka hata huko pengine tunapewa takwimu za uongo.
kuvuruga
Mama anataka nchi ili wazungu na magaidi wa kiarabu wavamie raislimali zetu .
Akapumzika kwao Zanzibar ]maana ameligawa taifa
 
Haya waseme Ponjoro kile alichofanya jana ndio kutetea wananchi au ndio ahadi yake kwa wana Kinondoni? Kuna nyakati silence inakua na maana zaidi ya kupanua kinywa
 
hawa ccm ni wajinga na wapuuzi sana.
nakumbuka spika ndugai alishawahi kumtafuta LISU ati hawajui yupo wapi wakati lisu yupo hospitali
hahaha leo wanatafutana wenyewe
ukiwa ccm automatically unakuwa mjinga tu.
msikilize msigwa alichokisema jana? yaani serikali inawapiga BITI WANAFUNZI WA VYUO VIKUU?
 
Tunataka msendeleo sio.maneno matupu,Mbunge hajatimiza ahadi zake hata moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…