CCM, kila Mtanzania ni mzalendo, acheni propaganda za kitoto

kurlzawa

JF-Expert Member
Jan 23, 2018
16,703
20,606
Habari za mchana wakuu?

Tukatae tukubari Lisu kabadirisha upepo wa siasa za kusifu na kuabudu kutoka kwaya matata sana ya kusifu na kuabudu kutoka Lumumba.

Hoja hawana wanabaki kusema oh! wapinzani sio wazalendo watauza nchi nawakumbusha tu watanzania sio wajinga tena.

Kila MTANZANIA awe CHADEMA ,ACT UDP ni MZALENDO kwa nchi yake msijipe hati miliki ya uzendo

Tunajua chama chenu kimejaa wanafiki tu sahivi watu wanaogopa kusema kitu kumkosoa mkuu wa kangi Lugola


Tuamkeni watanzania kila mtu ana uchungu na nchi yake hapo tulipo CCM imetufikisha wafanyakazi maiaka mi 4 hakuna mabàdiriko tuamkeni tumkatae mkoloni mweusi.


KAMA CCM MNAJIONA NYIE NI WAZALENDO PEKEE ONDOENI MULTIPARTY SYSTEM TUJUE MOJA.
 
Msiwalaumu kabisa CCM maana wao wana tafasiri yao binafsi ya Uzalendo ambayo wameitoa kwenye kamusi yao. Wao wanaamini uzalendo ni:
1. Imani katika serikali mbili ndani ya muungano.
2. Uchumi unaoongozwa na serikali pekee yake.
3. Imani katika siasa ya chama kimoja chenye hatamu.
4. Imani katika uchumi wa Ujamaa (ambao ushajifia).

Nje ya hapa wewe ni mhaini na kuwadi wa ubeberu ambaye unawekwa kwenye kitabu cheusi cha dola.
Taasisi nyeti za kimaamuzi nchi hii zinaongozwa na wale wazee wa Vita-Baridi ambao wamechoka akili.
Hivyo wewe ukija na kitu cha tofauti kutaka kubadilisha nchi ni lazima utauwawa au kupotezwa.

Sasa ili nchi ienze ni lazima hili genge (Vijana wa Nyerere) tulitoea kwa namna yoyote ile (By the Ballot or the bullet), maana tayari wengi wao washaanza kuondoka duniani. Bahati mbaya au nzuri wanavyoondoka wanatuachia watoto wao ambao hawawezi kutusumbua kabisa: Watu kama January Makamba, Hussein Mwinyi, Ridhiwani Kikwete, Angela Kairuki, Nape Nnauye na wengine ambao wanaachiwa Chama na nchi hawawezi kutusumbua sisi hata kidogo. Tutawashughulikia ipasavyo huku tukiona CCM ikijifia kwa ombwe kubwa la kiuongozi...
 
Watanzania wakati ni huu kuleta mabadiliko nchi tumechoka sana na umaskini uliochangiwa na ccm na viongozi wake.
 
Back
Top Bottom