CCM kidedea tena

Anayekishabikia hiki chama(chadema) sidhani kama ana akili timamu.Mtu na baba mkwe wake ndo mitume watu maajabu kweli yapo Chadema

Tutashabikia tu chama chetu cha Masikini ndio tunaamini ndio mkombozi wetu nyie bakini na chama chenu cha matajiri wala haina shida hiyo
 
Hivi huyu TANDALE WANI si ndiye alitumwa na NAPE kuleta CV hapa.magamba kweli hamnazo
 
MTENGETI bwana.............una visa wewe!!!!
 
Last edited by a moderator:
Halafu mbona unaandika huku unarukaruka, kuna nini..........ushindi wa kitongoji, raha sana si ndio eehhhhhhh!!
Hongera ccm mmeshinda ushindi wa kishindo....52% si masikhara!
 
.................................................. Unatuangusha mkuu hata kama kwa post hii uenda mkono ukaenda kinywani!!!!

Tiba

Nimeipenda hio sentensi, vijana wa mjini bwana wana mambo.......chumia tumbo!!!!
 
Hivi huyu TANDALE WANI si ndiye alitumwa na NAPE kuleta CV hapa.magamba kweli hamnazo

Aaha, kumbe ndie huyu? Inaelekea akili zake na za Nape zote ni sawa. Kwa pamoja walishindwa kugundua kwamba hiyo CV ilikuwa na makosa kibao kabla ya kuibandika.

Mbona watu waliitolea uvivu hiyo CV!!!

Tiba
 
Aaha, kumbe ndie huyu? Inaelekea akili zake na za Nape zote ni sawa. Kwa pamoja walishindwa kugundua kwamba hiyo CV ilikuwa na makosa kibao kabla ya kuibandika.

Mbona watu waliitolea uvivu hiyo CV!!!

Tiba

Kenya kwema,nashukuru kwa kuhakikisha Uhuru anachukua nchi.
CCM wameshinda kwa kishindo 52% kweli kila zama na wakati wake!
 
Anayekishabikia hiki chama(chadema) sidhani kama ana akili timamu.Mtu na baba mkwe wake ndo mitume watu maajabu kweli yapo Chadema

wewe mbona akili huna"chizi" halafu uko ccm huoni kuwa kauli yako unaipinga na kuonesha kuwa waliobaki ccm ndio machizi wa ukweli!
 
Habari imekaa kishabiki mnoooooooo! ebu jipange ujue namna ya kuripoti hapa.
 
MTENGETI bwana.............una visa wewe!!!!
kwani uongo mkuu! nyie mliopo mjini ndo kitongoji au mtaa una mix up ya watu kibao kabila kibao na pengine mataifa kibao. huku kwetu unaweza ukakuta familia moja inaishi ndani ya kitongoji kimoja. kwa mfano sisi ukoo wetu tunapanga nani awe mwenyekiti wa kitongoji. na mwakani Maccm Mtataga kwenye kitongoji chetu.
 
Ofisi imefungwa mkuu,uoni matikiti maji maji nje ya ofisi?


Ni jambo la hatari sana kwa chama kinachowaza kuchukua dola kushindwa kuendesha ofisi zao.
Wamehama au imefungwa kwa sababu gani unazozijua wewe.Kama kuna Tangazo la kufungwa kwa ofisi tuwekee hapa jamvini
 
Hii ndo ccm bwana, kwa halisi iliyopo huu nao mtauita ushindi wa kishindo maana mna kizunguzungu cha kipigo mlichokipata kule kanda ya ziwa na kusini..!
 
Mkuu Tandaleone,fast jet bado yupo sauzi au kesharudi
 
Nilikuwa napita tu!

Hongereni ccm kwa ushindi. Nendeni mkalale usingizi mnono. Mambo yanawaendea shwari
 

Kawaida kila mwamba ngoma huvutia kwake.Ungekuwa kweli Mtanzania na mzalendo ungefikiria ni kwa nini maisha magumu ,wizi wa maliasili zetu lakini bado watanzania wanawachagua walewale wezi wa maliasili zetu.Tutafakari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…