TandaleOne
JF-Expert Member
- Sep 4, 2010
- 1,644
- 709
duh! HAPO Umefunguka hadi Raha. Listen young gamba: nilikuwa siamini kuwa CCM kimepoteza mvuto kiasi hiki hadi kuashagilia ushindi wa Kitongoji kwa nguvu kiasi hiki. Na kibaya zaidi ni ushindi mwembamba mno. Tunajua hali halisi ya vitongoji vyetu hasa vijijini. Robo tatu ya wanakitongoji huwa ni wanadugu au koo flani hivi. sasa kama ndugu wa familia au ukoo mmoja wamegwanyika hivi bado mna kazi kubwa ya kufanya! 52% !!!! ptuuuuMgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika nafasi ya uenyekiti wa kitongoji cha Halla B katika Kata ya Nangara wilayani babati, Christopher Paschal, ameshinda nafasi hiyo baada ya kumwangusha Paulo John wa Chadema.
Akitangaza matokeo ya Uchaguzi huo uliofanyika jumapili iliyopita, msimamizi msaidizi Christopher Bainet, alisema Paschal aishinda kwa asilimia hamsini na mbili (52%) ya kura zote halali.
Kwa kasi hii chadema hawafiki 2015.,wakati Lissu anafanya mkutano wa hadhara uliohudhiriwa na watu kumi na moja Segerea, CCM inaendelea kuimarika kila kona ya nchi. CCM haina kanda kuwa mikutano yake ya kanda fulani tu ndio inapata watu wala haina aina haina fulani ya watu tu ndio watashinda. CCM popote na kwa yeyote inakubalika...!
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimejipanga zaidi katika kuhakikisha kuwa kinawafikia watu wa aina zote na kada zote.,imejipanga vijijini mpaka mijini. Chadema wako busy wanaitisha maandamano mijini, wanasahau more than 80% ya population ya Tanzania wanaishi vijijini tena wakulima ambao wanaamini katika maisha ya kijamaa na wanafuata imani ya chama cha wakulima na wafanyakazi CCM.
NB: Picha ikionesha hali ya chadema maeneo ya vijijini.,ofisi imefungwa haifanyi kazi.
Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika nafasi ya uenyekiti wa kitongoji cha Halla B katika Kata ya Nangara wilayani babati, Christopher Paschal, ameshinda nafasi hiyo baada ya kumwangusha Paulo John wa Chadema.

duh! HAPO Umefunguka hadi Raha. Listen young gamba: nilikuwa siamini kuwa CCM kimepoteza mvuto kiasi hiki hadi kuashagilia ushindi wa Kitongoji kwa nguvu kiasi hiki. Na kibaya zaidi ni ushindi mwembamba mno. Tunajua hali halisi ya vitongoji vyetu hasa vijijini. Robo tatu ya wanakitongoji huwa ni wanadugu au koo flani hivi. sasa kama ndugu wa familia au ukoo mmoja wamegwanyika hivi bado mna kazi kubwa ya kufanya! 52% !!!! ptuuuu
wewe una macho lakini hayaoni wala masikio yako hayasikii naona wewe ni mmojawapo wa mitaji ya ccm,ujinga, ukipewa kanga au T.shirt ya kijani unasahau unayofanyiwaMgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika nafasi ya uenyekiti wa kitongoji cha Halla B katika Kata ya Nangara wilayani babati, Christopher Paschal, ameshinda nafasi hiyo baada ya kumwangusha Paulo John wa Chadema.