Wooooooooooooooooooooooooooooooteeeeee mliochangia mada hii naona hamjailewaa!!!!!!!! Hoja kuu katika mada hii ni kiwango cha ufaulu kushushwa ili kuwezesha wanafunzi wengi zaidi KUFAULU. Lakini mtoa mada hajanukuu chanzo chochote cha habari hiyo ama ushahidi. Na ninaposema ushahidi ni kama vile zamani kiwango cha ufaulu kilikuwa ni maksi kadhaa na kiwango cha sasa kiwango cha ufaulu kimekuwa ni maksi kadhaa.
Thread ingekuja na ushahid kama jedwali hili ama ushahidi unaofanana na hivi:
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD="width: 283, bgcolor: transparent"]
KIWANGO CHA UFAULU-ZAMANI
[/TD]
[TD="width: 300, bgcolor: transparent"]
KIWANGO CHA UFAULU-CHA SASA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 283, bgcolor: transparent"]
[/TD]
[TD="width: 300, bgcolor: transparent"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 283, bgcolor: transparent"]
A= kutoka maksi…… mpaka maksi……
[/TD]
[TD="width: 300, bgcolor: transparent"]
A= kutoka maksi…… mpaka maksi……
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 283, bgcolor: transparent"]
B= kutoka maksi…… mpaka maksi……
[/TD]
[TD="width: 300, bgcolor: transparent"]
B= kutoka maksi…… mpaka maksi……
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 283, bgcolor: transparent"]
C= kutoka maksi…… mpaka maksi……
[/TD]
[TD="width: 300, bgcolor: transparent"]
C= kutoka maksi…… mpaka maksi……
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 283, bgcolor: transparent"]
D= kutoka maksi…… mpaka maksi……
[/TD]
[TD="width: 300, bgcolor: transparent"]
D= kutoka maksi…… mpaka maksi……
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 283, bgcolor: transparent"]
F= kutoka maksi…… mpaka maksi……
[/TD]
[TD="width: 300, bgcolor: transparent"]
F= kutoka maksi…… mpaka maksi……
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Huo ndio ugreat thinkers.....Vinginevyo tunavamia kesi tusiyoijua matokeo yake tukiulizwa tutoe ushahidi tunabaki kushangaa tu. Au mtoa mada angetupa hata tovuti iliyothibitisha hilo analotaka tulijadili. Yeye kapata wapi?
Tusikubali kupoteza muda kwa mambo ambayo hayana ushahidi maana kufanya hivyo inakuwa sawa na wale wanaomshambulia mulugo wakati wizarani kuna Waziri na katibu mkuu (ambao hawaguswi).