CCM kiboko

mods thread ya CCM mtachomoka si sawa na nyingine..mmeua...ndio kuikomboa CCM au ?
 
Mkuu mbona hata wewe mwenyewe mtata? Au ndiyo matokeo ya shule za kata? Nashindwa kuelewa kiswahili chako ni kibovu sana ipo haja kupata msasa

Chama
Gongo la mboto DSM

Kwani utata wangu unawaleta hasara gani ktk public?Kwa taarifa yako mara ya mwisho kumsikia Amin ktk dkk 45 sikuwa na mashaka kuona alivyokuwa kituko.NIlidhani anaigiza mazungumzo hakuwa realistic wala muelewa.Km kapita vigezo vyako.Basi sishangai na wewe ukiwa mmojawapo wa viaza waliofunguliwa good time.
 
Mkuu Pasco
Naona umemfuatilia Nicholas huyo ndugu yetu yupo kazini; yupo tayari kuandika chochote ili mradi mkono uende kinywani wapo wengi humu JF wanadhalilisha utu wao kwa vijiposho kutoka mtaa wa Togo.

Chama
Gongo la mboto DSM

Ndio mwisho wa fikra zako hapo?Hujui uzalendo tuu unatosha ikataa CCM kwa nguvu zote, na akili yako yote.
 
Nicholas,

Njaa yako mbaya sana hujui unachokiandika wewe unaandika chochote ili kutetea mkate wako kutoka kwa Dr Slaa.

Cc. chama,
 
Last edited by a moderator:

modes mmeua.Hizi ni hoja CCM walipaswa zijibu.Naona mnawasaidia.Kweli CCM ni soo.haiwezekani mod aliyefanya haya asione tofuati kiasi hiki.
 
Acha kujisifia na kupoteza watu...unafahanika wewe ni nani na kwanini uko hivyo....

sasa ukijua inakusaidia nini kujibu hoja?Au kuichomoa CCM ktk niliyosema
 

Pasco hembu nichomolee CCM

 
Mimi naamini tatizo kubwa linalokabili Tanzania sasa hivi ni ccm na mfumo mzima wa utawala ambao unakwamisha demokrasia kwa kutumia vyombo vya dola. ccm ni chombo ambacho kimekuwa mhimili mkubwa wa mfumo huo ambao unafanya kila njia ili uendelee. Badala ya ccm kuwa chama cha kuleta mapinduzi na maendeleo kwa wananchi wake, kimekuwa chama cha kupinga maendeleio (reactionary party) cha wananchi. Haya yote yanaonekana katika kupinga kwake kwa nguvu zote madai ya uwajibikaji katika maendeleo ya wananchi.

Tumeshuhudia jinsi hoja za wapinzani kuhusu maendeleo na maisha ya wananchi zinavyozimwa na serikali na wawakilishi wa chama hicho. Tumeyaona haya katika uwajibikaji wa elimu, afya, maji, usafiri na mengine mengi. Hii inaonyesha wazi kuwa chama hicho kipo dhidi ya wananchi, na yeyote anayekisimamia na kukishabikia hayupo upande wa wananchi na hatakii mema taifa hili.

Ni mawazo yangu pia kila mwanajamvi ana ruhusa ya kuweka mabandiko mengi awezvyo humu jamvini ili mradi tu havunji kanuni za jamvi.
 
Hivi wewe Mtanzania kweli mbona kiswahili chako cha kuungaunga.
Haikuhusu sana kwani wewe si pasco . Tofauti yako na pasco na wewe ni kwamba pasco ana akili ila yupo ktk mision.wewe upo ktk mission ila una kichwa kidogo km cha mbuni halafu kikatafunwa na fisi halafu reflex ikawa inamtembeza mbuni.matendwa na fikra zako hazizidi capability ya automation ya uti mgongo.
 
''There is no way this nation is going to fall, simply because the mudy break is holding and leading the very concrete one"
 
wacheeni wazungu waitwe wazungu, sijui mpaka lini waafrica tutakuwa tuna fikiri kwa kukopi? Watanzania bila siasa wala upendeleo najua kuna watu wengi wana kumbukwa hasa viongozi kwa walicho kifanya juu ya taifa hili basi kuna wale wanaokumbukwa kwa mazuri na wengine ni kwa mabaya lakini binafsi nita mkumbuka sana aliye toa wazo la kuwa na shule za kata simjui nini? ila nampongeza.kina choniskitisha Watanzania kuzibeza hizi shule za kata badala ya kutatua changamoto zake zinazo zikabili.
 
sioni kwani ccm isianze haramishwa hadharani kwa mioyoyoni tayari.
 
modes mmeua.Hizi ni hoja CCM walipaswa zijibu.Naona mnawasaidia.Kweli CCM ni soo.haiwezekani mod aliyefanya haya asione tofuati kiasi hiki.

Nikolas, unatumika kinyume kabisa na utaratibu. Yaani hadi unajijibu mwenyewe.inaonekana wazi kabisa passport Shaka Kuwa unatumia kichaa kufugia Nywele only.
 
mods thread ya CCM mtachomoka si sawa na nyingine..mmeua...ndio kuikomboa CCM au ?

Una akili ndogo sana wewe. Yaani thred uanzishe wewe halafu unawaona mods ni wajinga, Mburula kweli hajifichi
 
Nikolas, unatumika kinyume kabisa na utaratibu. Yaani hadi unajijibu mwenyewe.inaonekana wazi kabisa passport Shaka Kuwa unatumia kichaa kufugia Nywele only.
Wewe ndio uliunganisha nini?basi utakuwa na tatizo la kutofautisha vitu au unatumika wewe ineffectively.acha ubabaishaji.
Sasa ukimpa mtu ban itakuwa na thaman gani.Acheni haribu platform iliyopata ground km hii.au taratibu mnataka imaliza km mwana halisi.

Acha haribu thread km unafanya majaribio.kazi kuwapa watu ban na kufunga threads km mtoto mdogo.ulifunga yangu kwa vile ilitaja kuchhnja ukasahau kuwa kuchinja ilikuwa element ndogo tuu. Ktk issue nyingi.
 
Una akili ndogo sana wewe. Yaani thred uanzishe wewe halafu unawaona mods ni wajinga, Mburula kweli hajifichi
Taratibu unajivua nguo.umeshakuwa km watangazaji wa clouds.

reasoning yako inatia huruma achilia mbali suggestion yako ya ujinga ukimalizia na matusi.

Kwani kuanzisha mimi kunazuia vipi maamuzi ya kijinga ya mods wenye fikra na malengo km yako?wapi nimewaona wajinga na wewe ukashiriki maono yangu.

Janga lingine ktk media,au umeshakua superstaa sana km msaky?
 
...siku zote .....magamba wapo kazini kuinjinia …..Gape generation…..

cc GT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…