'CCM' katika ubora wao!

Watangulizi waliwaacha na mashua moja lakini sasa kila mmoja anajenga ya kwake kwa kutumia mbao zile zile.
 
Sina uhakika kama Masoud Kipanya huwa anapitia huku kuona mambo haya.
View attachment 256186
Hasa! Hii ndo filosofia ya siku nyingi ya hao jamaa.Tumia mbao za meli uliyomo,jenga kamashua kako uishie kivyako baharini! Gwiji wa filosofia hii alitengeneza kimashua chake siku nyingi akakizindua arusha tarehe 30/5/2015
 
Unapewa pesa ya kujenga daraja alafu unakwapua pesa nusu na kujenga hekalu then daraja unajenga 'disposable'. Matokeo yake maendeleo yanakuwa ni magorofa yanayoporomoka wakati wowote na foleni za magari makuu kuu kwenye jiji moja!

Hhahaaa anaiona kwa mbaaali inazama
Sina uhakika kama uendeshaji wa mashua kubwa unahitaji akili sana na kuendesha kamashua kamoja maana hata kenyewe katamshinda pia!

Ccm Kwisha Kabisa Ukawa Wamekanyaga Mpira Wa Oksijeni Sasa Ccm Haina Ujanja .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…