Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Chama cha Mapinduzi CCM kupitia wenyeviti wake wa mikoa, kinafanya ziara wanazoziita "Kukagua Miradi ya Maendeleo na Kuwashukuru Wananchi" na katika shughuli hiyo, wanaweka mikutano na kuzungumza na wananchi katika maeneo hayo.
Mikutano ya kisiasa ya vyama vya mbadala inapigwa marufuku na kupingwa vikali, hizi ni double standards... Vitendo hivi tukiviita Ubakaji wa Demokrasia mnasema tumekosea....
Tanzania ielekezwako yajua yenyewe...