naliwe
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 409
- 985
Bomoa bomoa inayoendelea ni malezi mabaya ya chama cha mapinduzi ya kuonea huruma na kuwabeba wananchi kwa muda mrefu.
Wananchi tulijisahau kua kuna mambo mengi sana kwenye nchi hii yanafanyika kinyume na taratibu lakini kutokana CCM kuwajali wananchi wake ilikua ikifumbia macho.
Mfano mzuri ni hawa watu wa mabondeni, serikali ilikua ikijua dhahiri kabisa tena kwa muda mrefu lakini kwa kuwapenda wanachi wake ikawaacha.
Baada ya kuona kumbe malezi yale ndio yanawapa kiburi kufikia hadi kutaka kumuangusha mzazi ikaona hii ni hatari sana na ndicho kinachotokea sasa ivi.
CCM iliwadekeza sana Arusha na Moshi na ndo dhambi inayowatafuna sasa.
Mi nilifikiri upinzani ungetoka sehemu ambazo maendeleo hakuna sehemu kama Kusini huko.
Lakini Kaskazini, miundombinu yote imejengwa na serikali ya CCM maendeleo yote yameletwa na CCM lakini eti leo CCM ni adui yao hahaha hatari sana.
Kweli mtoto umleavyo ndio akuavyo ila naamini chama kimegundua na wataifanyia kazi.
Naliwe wa Lumumba

Last edited by a moderator: