CCM kama Mnara wa BABELI

congobe

JF-Expert Member
May 31, 2012
561
131
Wakitumaini kuzungumza lugha moja na kuimba Wimbo mmoja ) CCM ina wenyewe
Tumeipenda wenyewe
CCM mbeleeeeee kwa mbele

Wakati huo Mola nae afanya yake
Lugha zimepishana kama Pepo na kuzimu

Hakuna jiwe juu ya Jiwe litaka litasalia
ambalo ni jiwe ovu , ni Swala la muda tu hatua kwa hatua.
 
Back
Top Bottom