CCM jamani!

Karabatini jengo la makao makuu yenu! Ni aibu jamani mafisadi wote mlio nao mbashindwa nini? Wekeni thamani mpya basi walau itoe reflection ya miaka 35 ya Kuwepo kwenu. Acheni kutoa mapovu
Kabla hawajalikarabati wafikirie kwanza kurudisha chenji yetu. jengo hili lilijengwa na michango yetu enzi zile za chama kimoja. Nadhani mfumo ulipokwisha ilibidi liwe jengo la umma na CCM ianze kutafuta rasilimali zake
 
Kuna Jengo lao Bukoba nimeonyeshwa ni gofu hawajamalizi .Halafu hicho ndio chama tunachotegemea kituletee maendeleo...
 
nalia na kodi yangu, wanakazi yakukimbizana kuhusu nani agombee 2015, hayo ya ukarabati yasubiri kwanza.
 
Hawa magamba si ndio wanapenda sana kutema mapovu humu kuhusu ofisi za CDM? Kweli nyani haoni masaburi yake, tena kwa hili ya Magamba makubwa kama ya tembo.

Kiongozi nauliza hivi ....? masaburi = na kundule? Hivi masaburi ni nini?
 
Mkuu ulienda kuongezea mda kadi yako ya uanachama nini ndio ukagundua yote hayo? lol


Alafu AVB anakusalimia sana, anakwambia acha kumtupa, anaitaji support yako bila wewe kibarua chake kitapotea.
 
I hate CCM for life !!

Kumbe umeanzisha thread kuendeleza chuki zako na huna nia ya kushauri kama ulivopretend.

Wakikarabati ikapendeza, mtasema wezi wanatumia pesa vibaya n.k, wakiacha ndo haya tena.

Nahisi hoja zote dhidi yao mmezimaliza ndo maana hata Dr.Slaa kimya maana mabomu yote ni yale yale. Sasa mnaanza kuleta habari zisizo na mshiko
 
FiD, I never supported stupid idrologies within CCM
 
Wacheni wale kwani sikuzao ndoo za fika ukingoni mwa 2015, wamepanga kufilisi kila kitu ili makamanda tutakapoingia tuanze upya.
 
Angalao pale Shinyanga walishtuka mapema wakaingia ubia na NSSF na kumalizia ujenzi jengo vinginevyo hadi Leo lingekuwa gofu kama ilivyo Singida. Kwa kweli ni aibu sana chama tawala kukosa mikakati na ubunifu kiasi hicho! Ovyoo kabisa!
 
pale tandare kwa mtogore kuna jengo la ccm - ambapo kwa sasa ni kijiwe cha wavuta bange, unga na yale mambo ya fasta fasta una sh ngapi. (pale makutano ya njia toka sayansi na ile ya toka sinza kijiweni)

ni kweli ofisi nyingi za ccm zinaongeza yafuatayo
a) Mbu - wakati tunampango wa kutokomeza malaria
b) Ukimwi - watu wanafanya vitendo viovu ndani sababu majengo haya na milango wala madirisha
c) Madawa ya kulevya - vijiwe vya biashara hii

masa, kama unanibishia wewe nenda pale, nimechukulia ofice moja tu kama mfano halisi.

Je tukisema chama kimezeeka tunakosea?
 
Umesahau kuwa kiwango cha ruzuku wanachopata kila mwezi kimepungua?
 
Nadhani hayo majengo yanwakilisha ukongwe wao......
Kwamba hata chama chenyewe kimebaki kuwa gofu kama majengo yake....
Pia ni aina ya uendeshaji wa mambo yao katika serikali zake kama walivyotelekeza mashirika ya UMMA..
Kwa hili naomba niwapongeze CCM kama majasiri wasio acha asili
​
 
Wazazi wetu walichangia ujenzi wa hayo majengo bila kujali kama ni wana ccm au la lakini baadae ccm imejinyakulia majengo yote. No wonder sasa hivi hawawezi kuyakarabati maana michango yote wa watu wao inaishia kwenye gharama za uchakachuzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…