CCM ivunjike tu



mmmh! sio mchezo
 
Nafunga na kuomba jina la Lowassa likatwe tuone mikwara yake itaishia wapi. Mtu mmoja fisadi na mwizi hawezi kutishia watu wazima kana kwamba chama ni chake.

Hatuwezi kuongozwa na rais fisadi.

Mbona kikwete anaongoza?

Mbona ccm imejaa mafisadi na mmeshindwa kuyafikisha mahakamani?
 
Utavunjika wewe na njaa zako hizo, hahaha mtaisoma namba mwaka huu.
 
Mzee Mwanakijiji ccm inavunjika tu hakuna namna
 
Nawakumbusha tu! kwi kwi kwi kwi....
 

JF Senior Expert MemberArray


Join Date : 10th March 2006
Location : Kijijini
Posts : 31,744
Rep Power : 87751404
Likes Received24300
Likes Given13220


[h=2]
Magufuli na CCM Mpasukwa, Lowassa na Matumaini, na Nyota ya CHADEMA[/h]
Wazo: Kufikiria hata kwa mbali kuwa ati Magufuli analeta uongozi mpya toka CCM ni kujikunyata katika usahaulifu. Ni usahaulifu uliopitiliza kudhania kwamba ati kwa kumteua Magufuli CCM sasa imebadilika na kuzaliwa upya! Wengine wamefikia mahali wanaamini ati sasa Magufuli atapita kiulaini tu.


Magufuli kama ilivyokuwa kwa wagombea wengine ndani ya CCM wote wanawakilisha maslahi ya chama tawala. Wote wamekuja na watakuja na mwendelezo (rejea hotuba yake ya kuomba kura) wa dhana zile zile, sera zile zile na mwelekeo ule ule. Alishindwa Kikwete kukiunganisha chama Magufuli ataweza? Nitachambua hili zaidi siku chache zijazo baada ya vumbi walilolitifua Dodoma kutua.


…...
Endapo Lowassa ataenda ACT (kama wengi wetu tumekuwa tukifiria kwa muda sasa tulipozisoma alama za nyakati) CCM itapata shida na maumivu mengine ya kichwa na sidhani kama Magufuli ana dawa ya kuyaponya. Hili linafungua uwezekano mpya kabisa wa ushindi wa CDM na washirika wake katika UKAWA. Sioni ni namna gani watu waliounga mkono CDM miaka yote hii wataweza kumkumbatia Lowassa bila kuonekana ni wanafiki. Sitoshangaa kama Lowassa atapokelewa CDM wengine wanaweza kabisa kuamua kuunga mkono Magufuli ili kuendelea kumkataa Lowassa na mambo yake, ahadi zake na maono yake.


Vyovyote vile ilivyo, Magufuli hawezi kuiokoa CCM iliyogawanyika, iliyopoteza mwelekeo na ambayo ina majeruhi na wengine wanakuja yatakapoanza mambo ya Ubunge. Magufuli ataweza kuzungumza kwa kutaja namba mbalimbali na kA hisia na vichekesho lakini ukweli wa hali tete ya chama tawala umethibitishwa Dodoma. Kama Kikwete aliyesifiwa kwa sura yake nzuri, tabasamu lake, 'ujana' wake na ambaye amekuwa kwenye utumishi wa wizara nyingi muda mrefu amekifikisha chama chake hapa na Taifa ni vipi Magufuli anaweza kwenda zaidi wakati hata kama akishinda hatokuwa Mwenyekiti wa CCM hadi 2017 (kama Kikwete hatojiuzulu mapema)?


Kwa wale wanaotaka mabadiliko ya kweli CDM na washiriki wake wanatakiwa kujionesha wanaelewa kadi walizonazo mkononi na ni zamu yao kucheza kwani za CCM tumeziona zilivyochezwa na wamebaki na magarasa tu. Ni wakati wa CDM kuita "Last Card".


MMM​


 
Reactions: SMU
Mimi UngaUnga Na Fufua Nyuzi Za Mmm Kuwazindua Watanzania Wazinduke, Maana Hivi Sasa Tunapata Kumuona Akimshambulia Mh El, Ktka Operesheni Yake
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…