innocentmollel
JF-Expert Member
- Sep 11, 2014
- 1,702
- 753
Hata mgonjwa aliye ICU anaiman atapona n km ccm walivyo na iman watashinda lkn wapii .kitumbua kimeshaingia mchanga hichooo mamviiiii huyo ikuluuuuuu
Ndoroobo wewe lowasa kumpokea Monduli sawa lakini sio Ikulu. Ikulu ni ya Magufuli tu.Kinyume chake ni UKAWA, kubali kataa anza kujianda kumpokea Lowassa.
Ndoroobo wewe lowasa kumpokea Monduli sawa lakini sio Ikulu. Ikulu ni ya Magufuli tu.
Bao la mkono la wapi tupo makini kinoma tutapigana mpaka kuche..mwaka huu lazima ccm itoke mkipiga bao la mkono sie tunawachapa mikono...wakala anaetaka kifo ajidai kupokea hela chafu..tutamchafua damu