CCM itaondolewa madarakani lakini sio mwaka huu, wala sio na UKAWA kupitia Lowasa wala Sumaye.
Itaondelewa tu muda ukifika, wapinzani wa kweli wakijipanga upya, na kudhamiria kuiondoa CCM kweli kweli.
Wapinzani wa kweli wanaweza toka ndani ya CHADEMA, au CUF au chama kingine imara.
UKAWA kwa sasa wenyewe hawajui inaongozwa na nani... ndo maana ameachiwa mzee mamvi apigane kufa kupona, lakini safari ya Ikulu hiyo mhhh... kila la heri lakini.
Ni maoni yangu tu, uko huru kuwa kinyume na mtazamo huu, huna sababu ya kunitusi.