CCM itakuwa kama ZANU ya Zimbabwe

CCM itakuwa kama ZANU ya Zimbabwe

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,269
Reaction score
13,897
CCM itakuwa kama ZANU ya Zimbabwe. Mugabe hivihivi alipuuza watu akabaki madarakani lakini nchi ndiyo ikamuacha. Kubali madarakani bila nchi kuwa moja ni mbaya. angalieni zimbabwe na ubishi kama CCM nchi yao ingekuwa wapi leo!!!


ZANU-PF, Zimbabwe's ruling party, has failed to deliver for the country due to a combination of neopatrimonialism, where officials exploit state control for personal gain, leading to widespread corruption and mismanagement of resources. This has been compounded by a history of political violence against opponents, the weakening of democratic institutions and independent commissions, and economically disastrous policies such as the Fast-Track Land Reform, which decimated key sectors like agriculture and led to a prolonged economic crisis and widespread poverty.
 
Mugabe aliwachokonoa wazungu wakaminya pumbu Zimbabwe chali.

Zanupf na CCM wabishi kutoka madarakani labda kwa moto wa gesi.
 
Back
Top Bottom