CCM itakavyozoa kura za mabarobaro

CCM itakavyozoa kura za mabarobaro

Dotto C. Rangimoto

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,985
Reaction score
1,286

Haya macho yaso mfano kwa uzuri, mdomo anavyouchezesha kwa matao, na nyimbo yenye vionjo vinavyomvutia kijana yeyote, ama hakika kijana ana kila sababu ya kumpigia kura Maguful na CCM yake.

Sera na mambo mengine wapelekee wasomi waandika tafiti, na wazee ambao mambo haya yameshawapita, hapa kama vijana tunataka mambo haya. Hongera CCM kwa hili, vyama vingine viige hili kwakweli, husani wazee wa kudeki barabara.

Kwa pamoja tuseme CCM OYEEEEEE,
MAGUFU SELEMAAAA
MREMBO SELEMAAAA
VIJANA SELEMAAA
 
Last edited by a moderator:
kwanini mnaanza kumkandia MAGUFULI kwa sasa?
AU CCM haijatoa pesa yakutosha huko kwenu ACT?
--------- mwenyewe anampigiamagufuli sembuse wewe.....

au slaa kawaharibia kakomba mpaka mmboga kwa sasa mnapuuzwa?
 
Anatongozwa,anapigwana mjebele na kura zinapigwa ukawa vilevile.
 
Haya macho yaso mfano kwa uzuri, mdomo anavyouchezesha kwa matao, na nyimbo yenye vionjo vinavyomvutia kijana yeyote, ama hakika kijana ana kila sababu ya kumpigia kura Maguful na CCM yake.

Sera na mambo mengine wapelekee wasomi waandika tafiti, na wazee ambao mambo haya yameshawapita, hapa kama vijana tunataka mambo haya. Hongera CCM kwa hili, vyama vingine viige hili kwakweli, husani wazee wa kudeki barabara.

Kwa pamoja tuseme CCM OYEEEEEE,
MAGUFU SELEMAAAA
MREMBO SELEMAAAA
VIJANA SELEMAAA

ACT imefia wapi?
Ni lini Zitto atakabidhi "ukuu" wa chama kwa Anna Mwingira kama mlivoahidi?
 
Last edited by a moderator:

ACT imefia wapi?
Ni lini Zitto atakabidhi "ukuu" wa chama kwa Anna Mwingira kama mlivoahidi?

TATIZO LAKO HUFATILII SIASA ZA ZITTO KWA SABABU YA CHUKI ZA KIJINGA. HILO ALISHALIELEZA TARATIBU ZA XHAMA ZIKO WAZI ASHINDE AU ASISHINDE ANNA ATAKABIDHIWA JUKUM HILO BAADA YA UCHAGUZI. ACT ni chama cha misingi sio kama chenu hicho lowasa kakinunua. na subiri apigwe chini uone mtakavyokimbiana
 
Kwamba sera pelekea watafiti mnataka sura, kwa kigezo cha sura magufuli hata uenyekiti wa mtaa atapata Kweli?
 
Back
Top Bottom