Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 72
Ndio na mimi naposhangaa hapo, au wamsimamishe mtoa mada!Haa! mimi nilifikiri chama kinaendeshwa kwa kanuni na taratibu zake ktk kumpata mgombea. Kumbe kwenu mnachungulia nani anamtaka nani! Nyerere alikufa na hili lichama lenu.
Haa! mimi nilifikiri chama kinaendeshwa kwa kanuni na taratibu zake ktk kumpata mgombea. Kumbe kwenu mnachungulia nani anamtaka nani! Nyerere alikufa na hili lichama lenu.
Chama kijisafishe kwa sioi peke yake mbona ndani ya chama wengi wachafu au wewe huoni.Sema kama unampenda aliyeshindwa tukuelewe sio kusafisha chama kwa kumwondoa mtu itakuwa ni unafiki
ii) Katika kipindi hiki ambacho chama kinahitaji kutumia nguvu kubwa kujisafisha na kurejesha "credibility"
kwa wananchi, naona ni vyema kamati kuu isimteue SIYOI na badala lake wamweke mtu mwingi bila kujali
kama watashinda au la vinginevyo jinamizi la rushwa na nguvu ya mafisadi ndani ya chama itaendelea
kukibomoa chama hicho.
NAKUHAKIKISHIENI CCM WAKIFANYA KOSA ULILOSHAURI HAPA WATALISIKIA JIMBO HILO KWENYE BOMBA,EDWARD RICHMOND ANA USHAWISHI WA HALI YA JUU KWENYE JIMBO LILE NA SOTE TUNAJUA KUWA SIOI NI MKWE WAKE KWA VYOVYOTE EDWARD NDIO ALIMSHAURI AGOMBEE NA ANAMPA FULL SUPPORT .LEO HII CCM WAKISEMA WANAMTEMA TUU KUNDI ZIMA LA EL BILA EL KUJIWEKA HADHARANI LITASAMBARATIKA NA KUIUNGA MKONO CDM KWA HIYO CDM ITASHINDA KWA KISHINDO JAPO SIO LAzIMA WASHINDE KWANI WATZ WANA MAMBO YAO WANAYAPENDA KAMA UBWABWA,KOFIA ,KANGA NA AHADI HEWA NA UKIYAWEZA HAYA BASI UNAWATEKA NA KUWABURUZA
ndg vgl unataka kusema ninh mbona sikusomi ? Una uhusiano wowote na sarakikya ?