CCM isijisumbue Iringa - Msigwa

CCM isijisumbue Iringa - Msigwa

Yeye kama mbunge ndio anatakiwa ajibu hilo swali, aliomba ubunge ili awatetee wananchi, kapewa hiyo nafasi lakini bado anaongea kama anagombea ubunge badala ya kuongea kama mbunge.
Umeishachaguliwa sasa ni jukumu lako kuhakikisha hilo gunia la mahindi linashuka bei bila kusahau usiwakere waliolima hayo mahindi

Moja ya kazi ya mbunge wa upinzani pia ni kutunga sheria, kuikosoa serikali na kuishauri serikali.Kwani Mbunge ana bajeti yake binafsi?

MACRO ECONOMY and MICRO ECONOMY ni kazi kubwa inayotakiwa kuratibiwa na kufanywa na watendaji na wanataaluma wa vyombo vyote vya serikali ya ccm. LABDA USEME SERIKALI YA CCM INA KICHWA NGUMU KUTOWASIKILIZA USHAURI WA WABUNGE. Kwa uwelewa wako mbunge wa Iringa pekeyake anaweza ku control inflation ? ambapo serikali ya CCM haisimamii vizuri Monentary policy, Fiscal policy, Price control na Uchumi kwa ujumla.Hata hiyo ccm yenyewehaijaweza kutekeleza ilani na sera zake.wewe ulitarajia nini
 
Tunataka mikakati yako juu ya jinsi ya kuwakwamua kiuchumi wananchi wa iringa na sio haya majibizano kati yako na CCM.
 
Back
Top Bottom