Fisadidagaa
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 962
- 235
Acha matusi mkuu, igawaje hiyo ndio tabia ya wana CDM.Lakini fikiria vizuri na utakumbuka kuwa Mchungaji Msigwa na Padiri Slaa wote walitoka kanisani.Kwa mifano hai hao watu wa Mungu hawana cha kujivunia.
Mchungaji kiongozi Dr Getrud Rwakatale.