Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,100
- 1,955
Wewe acha hizo fikra za kifinyu.
Kunafaida zipi umezipata kuwepo CHADEMA?
Naomba uwe mkweli. na unijibu.
hapo kwenye red, ulikuwa na kiroba cha ngapi mrembo annaeliCCM is better than CHADEMA. Hatawewe ubajua hilo.
duh we kweli dada tena dada poa,mtu yeyote anyeshabikia CCM ANA UPUNGUFU WA AKILI,MMESHUHUDIA,HUYO ANNA HATA ALIYEMUITA HILO JINA ALIJUA NI JANGA LA KITAIFA,ETI ANAULIZA ZA NN?HALAFU ANATOA ILI IWEJE,HIZO NI TABIA ZA DADA ZETU ,OOH MI SITAKI,MI SITAKI ,OOH SIJAWAHI KULALA NA MMWANAUME,OOOH NAOGOPA HUKU ANAENDA MPAKA NDANI DUUUUUUUUUUH NI MTAZAMO TU.Mimi sio dada ni Mwanaume. Unataka za nini? +255790567234
Hizo ni fikra zako na usidhani kila mtu atakusaport unacho waza.duh we kweli dada tena dada poa,mtu yeyote anyeshabikia CCM ANA UPUNGUFU WA AKILI,MMESHUHUDIA,HUYO ANNA HATA ALIYEMUITA HILO JINA ALIJUA NI JANGA LA KITAIFA,ETI ANAULIZA ZA NN?HALAFU ANATOA ILI IWEJE,HIZO NI TABIA ZA DADA ZETU ,OOH MI SITAKI,MI SITAKI ,OOH SIJAWAHI KULALA NA MMWANAUME,OOOH NAOGOPA HUKU ANAENDA MPAKA NDANI DUUUUUUUUUUH NI MTAZAMO TU.
Hii ni kweli:-
1. Ni chama sikivu
2. Wanajua jinsi ya kutatua matatizo
3. Wameiweka nchi katika hali ya utulivu.
Hizo ni fikra zako na usidhani kila mtu atakusaport unacho waza.
Mimi nimechagua CCM na ninaiona ni nzuri na inafaa. Wewe umechagua CHADEMA so sio kwa sababu mimi napenda CCM ukadhani wewe unaakili kuliko mimi hapa tena hapana.
Kila mmoja anamtazamo wake. Wewe unaohuo ulio nao lakini mimi ni huu nilio nao.
Acha kunitukana na kunitolea matusi kuniambia mimi ni mwanamke na hapo juu nimekueleza mimi ni mwanaume wewe unataka shari au kheri?
Samahani mkuu matusi hayatakiwi.
Kweli bana kwenye mikutano ya wanatoa matusi makubwa makubwaHawa hutaezana nao ndugu yangu hawa kwao SLAA yao ni matusi hawana hoja na unakuta mtu mmoja wa pale UFIPA ana account kumi kwa hiyo kuwa makini ndugu yangu Annael hawa kiboko yao Mwema pekee yake
Samahani kidogo. Hivi unadhani maneno matupu huvunja mfupa? au kelele za vyura humzuia ng`ombe kunywa maji?Aisee hili jukwaa linataka nidhamu, mtu kama huyu kama mnaongea live, unaweza mpa neno, milele akabaki kulitafakari bila kupata majibu!
Naunga mukono chalii yangu.Hii ni kweli:-
1. Ni chama sikivu
2. Wanajua jinsi ya kutatua matatizo
3. Wameiweka nchi katika hali ya utulivu.
Hii ni kweli:-
1. Ni chama sikivu
2. Wanajua jinsi ya kutatua matatizo
3. Wameiweka nchi katika hali ya utulivu.
Hii ni kweli:-
1. Ni chama sikivu
2. Wanajua jinsi ya kutatua matatizo
3. Wameiweka nchi katika hali ya utulivu.
Hoja za kuanzia saa 4 usiku hizi, kichwani full viloba,gongo,wanzuki nk.
Lusinde ni wa chadema?Kweli bana kwenye mikutano ya wanatoa matusi makubwa makubwa
eti ee wazalendo. Hivi nyie CHADEMA mnadhani hii nchi yenu pekee?
This is our country.
Hii ni kweli:-
1. Ni chama sikivu
2. Wanajua jinsi ya kutatua matatizo
3. Wameiweka nchi katika hali ya utulivu.
Dada Annael,nimekupenda sana! Je,naweza pata contact zako?