Ccm ingekuwa na masikio? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm ingekuwa na masikio?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gagurito, Mar 29, 2011.

 1. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kwa kweli mengi yanaongewa kuhusu ccm, naweza sema changamoto hz zingekijenga chama bt mambo ni tofauti. Kila siku MAKAIYA WA KUHENGA AMEKUWA AKIWATAKA WANACHAMA NA VIONGOZI WAKE WAJIPANGE. Lakin yote yasemwayo ni km upepo upitao, hawasikii, nawezasema nikama sikio la kufa ! Tukichukuliaje, tukielewaje, kimekuwaje chama hiki? Coz mambo yake km chama dola ni matatizo kwa wananchi!
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  La kufa.....
   
 3. Juaangavu

  Juaangavu JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2011
  Joined: Nov 3, 2009
  Messages: 916
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kuna kuzaliwa, kuishi kisha kufa. Ni vema kufa kama utakuwa umetimiza vema makusudi ya kuwa na uhai ili uweze kuishi kati ya walio hai ili hali haupo nao kimwili. Kinyume chake si jambo jema kwa muungwana.
  CCM ipo ICU, cha kufurahisha hata madaktari (viongozi wa chama kama katibu nk) wamemkatia tamaa mgonjwa wanahesabu masaa yake; ili hali wananchi kwa upande wao wamekwisha chimba kaburi wanasubiri kuzika.
  Haya ni maoni yangu, ni vigumu kupata maziwa toka kwa ng'ombe dume; yeyote ategemeaye ccm ya wafanyakazi na wakulima kurejea ni sawa na mtu huyu ategemea kupata maziwa kwa ng'ombe dume.
   
Loading...