Not_Yet_Uhuru
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 1,304
- 444
Wadau,
Historia inatuonyesha ktk ukombozi wa kisiasa, kuna watu ambao wanatakiwa wawepo mbele ya kundi linalotakiwa kujikomboa hadi wapate kuvushwa wote ktk mto wa dhuluma na mateso ya kikoloni na hususan mkoloni hatari kama alivyo CCM. CCM ni mkoloni mweusi hatari sana anayelenga kuimaliza utashi wa WANANCHI ili wasijikomboe Kamwe. Nabii Musa aliwaongoza Wana wa Israel dhidi ya mkoloni Pharaoh. Baba wa Taifa Nyerere na timu yake ya wachache, waliwaongoza Watanganyika kujikomboa dhidi ya Mkoloni Mwingereza, na Mh Mbowe na Dr Slaa wanawaongoza tena Watanganyika na wenzao wazanzibar kujitoa ktk mikono ya mkoloni Ccm na UTAWALA wake mbovu. Ndio MAANA Mkoloni huyu CCM anawaogopa sana na anatamani kusikia hawa wawili wamekufa au kulemaa daima kama alivyotamani Mwingereza dhidi ya Nyerere na Pharaoh dhidi ya Mussa na waisrael.
Tunaafiki Mh Mbowe na Dr Slaa waendelee kuwavusha Watanganyika kwenda ukombozi?

Chukueni kopo mkachambe mlale.
DJ MBOOwe anawaongoza wana chadema kusakata rumba
Ni sawa na panya wakisikia sauti ya paka wanavyowaovopa Makamanda.
vijitu vilivyojiapia kuleta vurugu na kuhatarisha usalama wa nchi kwa nini wasiogopwe.
ni kuwaogopa kama ukoma
kwanza hawaamini kilichompata Zitto
Wadau,
Historia inatuonyesha ktk ukombozi wa kisiasa, kuna watu ambao wanatakiwa wawepo mbele ya kundi linalotakiwa kujikomboa hadi wapate kuvushwa wote ktk mto wa dhuluma na mateso ya kikoloni na hususan mkoloni hatari kama alivyo CCM. CCM ni mkoloni mweusi hatari sana anayelenga kuimaliza utashi wa WANANCHI ili wasijikomboe Kamwe. Nabii Musa aliwaongoza Wana wa Israel dhidi ya mkoloni Pharaoh. Baba wa Taifa Nyerere na timu yake ya wachache, waliwaongoza Watanganyika kujikomboa dhidi ya Mkoloni Mwingereza, na Mh Mbowe na Dr Slaa wanawaongoza tena Watanganyika na wenzao wazanzibar kujitoa ktk mikono ya mkoloni Ccm na UTAWALA wake mbovu. Ndio MAANA Mkoloni huyu CCM anawaogopa sana na anatamani kusikia hawa wawili wamekufa au kulemaa daima kama alivyotamani Mwingereza dhidi ya Nyerere na Pharaoh dhidi ya Mussa na waisrael.
Tunaafiki Mh Mbowe na Dr Slaa waendelee kuwavusha Watanganyika kwenda ukombozi?
mimi kipofu...anaeniongoza nae pia kipofu..sasa kama sio kutupana mitaroni ni nini ?...mimi simtegemei mtu wa aina yoyote aniongoze kwenye safari yangu....kueni makini sana ushabiki wa kisiasa mtakuja kujuta ipo siku.