CCM inawaita Watanzania Mifugo!!

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
52,045
114,503
Chadema tumepata Katibu Mkuu mpya.Napenda aitwe Katibu Mkuu Msomi,ni Dr.Vicent Mashinji.Huyu kijana ni Daktari bingwa wa binadamu (MMED) na Daktari wa Falsafa (PhD).CCM imepatwa na taharuki,hii ni kutokana na folder la kashfa waliloliandaa kwa mtu waliyemtegemea kuwa worthless.CCM wameanza kutukana wapo kwenye panic mode.Wanasema Dr.Vicent Katibu Mkuu Msomi ni Daktari wa Mifugo tu.....Katibu wetu ni Daktari bingwa wa binadamu (MMED),ni daktari wa watanzania ambao CCM inawaita Mifugo,Watanzania waliowahi,wanaotibiwa na watakaitibiwa na Dr.Vicent,CCM inawaita mifugo.Hiki ni kiwango cha juu sana cha dharau za CCM kwa Watanzania,yale matusi ya Mkapa kipindi cha kampeni hayakutosha.Asanteni CCM
 
Back
Top Bottom