CCM inavyotafuta kura....

Rugas

JF-Expert Member
Jan 8, 2009
1,048
196
download
ccm na uchaguzi.png
 


Dah alafu bado wanakubali kudanganywa hali yenyewe hapo ngumu kwenye hiyo maskani
 
Uko ndo mwisho wa reli kuna rafiki yangu anatokea uko anasemaga kuwa yeye ni Mtanganyika bse Tanzania hawaitambui bse mambo yao mengi ni kama enzi za Tanganyika ie huduma za jamiii shida,roads za mkoloni,kwenda uko ni kwa treni
 
Hii Kali aisee...New Bagamoyo Road imepambwa na bendera za CCM , vibanda/maduka wamiliki wake wamepewa ths 20,000/= ili kupeperusha hizo bendera.....
 
ni ajabu wadau mliofika mjini {posta] je kuna bango linaloonesha chuo kikuu cha dodoma na ujumbe wa chuo kikuu cha dodoma fahali ya tanzania chagua ccm tunaomba kujua kile chuo ni cha watanzania au ni cha ccmaaaaaaa/
 
Hii Kali aisee...New Bagamoyo Road imepambwa na bendera za CCM , vibanda/maduka wamiliki wake wamepewa ths 20,000/= ili kupeperusha hizo bendera.....

Lo!
Hivi sasa serikalini hali ni ngumu. Wizara zinalia hamna pesa. Swali pesa zimeenda wapi? Jibu kwenye kampeni za CCM. Baada ya EPA mwaka huu tujiandae kupata jina jingine walilotumia CCM kuiba pesa za walipa kodi na kuzitumia kwenye kampeni zao.
 
Back
Top Bottom