Eng. Y. Bihagaze
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,488
- 908
Ingawa hatujabahatika kuwa Na Muungano Tanzania, hiki kidogo kinachoitwa MUUNGANIKO nacho pia Chama Changu CCM mnataka kukiangamiza.
KWANINI CC ya Chama, ichoke kutafakari? Mchoke kugundua Moshi unaofuka Kwa kasi mpya Na kuuzuia Kwa kuweka makalio?..CCM Mna lengo gani Na Nchi hii? Mnataka mpaka Tuuane miongoni mwetu ndipo furaha Yenu ikamilike? KWANINI Muwe na Ibilisi mbaya kabisa this way..
CCM ingekuwa Na Ubinaadam lau mngepiga mbiu tuwe na MUUNGANO yaani Serikali Moja, Nchi Moja, Taifa Na wataifa wamoja Na Raisi Mmoja. Kuendelea kushinikiza serikali mbili ni kupalilia zaidi matatizo yaliyowashinda mnayoyafaham Fika.
Hakuna Kura iliyofanyika up-to now but dalili zote Za Wazenji kuupinga Muunganiko huu ziko wazi kabisa Na mnazijua. Au utaitisha Kura ya kitaifa Na wazi Kwamba 44:1 itafanya Kazi, wazanzibar wote wakipiga kura maskini ni watu wasiozidi milioni moja ambao watafunikwa Kwa mbali na Watanzania bara. Ujinga umetufikisha hapa sasa werevu ututoe hapa.
Hiyo CC ya Chama inayoshinikiza muunganiko huu uendelee Ina wajumbe wangapi? Kutoka bara ni wangapi na visiwani wangapi? Tuwe fare Kwa hili.
Huu Muunganiko wa serikali mbili mnaoshinikiza udumishwe JE asilimia Ngapi ya Wazanzibar Wanautaka?? Na vikao vya kuongelea Nchi ya watu vinafanyika upande mmoja wa Nchi kila siku. Mie kwangu sioni Kama ni Busara kuutumia wingi wetu, Nguvu zetu kuwakandamiza wachache wazanzibar Kwa Sababu tu waliingia mkenge wenyewe that time. Mie sipendi Mtu aonewe Hata kama SIO jamaa yangu KWANINI Umuonee??
Mambo haya yawe wazi, ifanyike Kura ya kitaifa, wazanzibar wengi wakisema hatutaki hiki kitu sioni Sababu ya kulazimishana. Au wabara wakisema hawataki hii makitu inaondolewa tu. SIO watu wawili watatu walioshiba minyoo matumboni mwao waamue Kwa Ujinga Mustakabali wa mamilioni ya Raia Kwa Manufaa binafsi..
CCM ingekuwa Na Utu AMA ingepiga mbiu ya Muungano au kukubali zigo jipya la serikali tatu SIO Muunganiko huu ambao hakuna hata mwana ccm mmoja anayeuelewa. {Unarithi mavi na unaendelea kuyahifadhi ndani ya nyumba yako kwa sababu baba alisema yatageuka kuwa almasi siku moja. }Kuendelea kushinikiza Muunganiko huu CCM inajua wazi Wazanzibar watachokifanya Na inataka wakifanye ili waikoshe mikono Yao.. Mie Sijui wakoje.. Kama wachawi
Vile..