CCM inatosha kuendelea kuliongoza Taifa letu

Nashukuru mkuu,Mimi napambana kuhakikisha kuwa Taifa letu linakuwa na chakula Cha kutosha ili usalama na utulivu viendelee kutamalaki hapa nchini kwa kuwa huwezi kuwaongoza Wala kusikilizwa na watu wenye njaa ya chakula,lakini pia kwa Sasa tunasema kilimo Ni Biashara Hivyo naendelea na biashara hii ambayo serikali ya mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani imekuja kuwafuta machozi wakulima baada ya miaka mingi kuwa watu wa kupangiwa Bei ya mazao na mahali pa kuuza bila kujari gharama alizokuwa anatumia mkulima katika uzalishaji
Pathetic
 
Nafanya kazi zangu za kilimo na najisikia fahari kuwa mkulima kwa kuwa Ni kazi ya heshima Sana inayoniweka katika kundi la kulilisha Taifa langu,hivyo sitegemei hisani ya kupewa vocha ili nije kuandika hapa jukwaani
Kumbe uliufuata ule ushauri niliokwambia ukalime zako tu sio? Lakini nnachokusifu asee una roho ngumu
si mchezo yaani kifupi unaishi kwa matumaini kwamba ONE DAY yes, umeona kimya ikabidi umwage kabisa na m-pesa!!? Utakuja utekwe na wahafidhina wa chama chenu shauri yako.
 
Ndugu zangu watanzania,

Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema kwa kujiamini na bila hofu yoyote ile kuwa CCM Inatosha Kuendelea Kuliongoza Taifa Letu Kama chama Tawala,kwa kuwa imeonyesha ushupavu ,umadhubuti ,uimara,ujasiri ,uhodari ,uzalendo ,umakini,utayari na mikakati Bora katika kuwahudumia na kuwatumikia watanzania.

CCM ndio chama pekee kilichoonyesha na kujiweka karibu na wananchi, kuwasikiliza na kuwapatia majibu ya maswali Yao, Ni CCM pekee iliyoonyesha usikivu kwa sauti za makundi yote katika jamii,Ni CCM pekee iliyoonyesha kuwa na uchungu na maisha ya watanzania,Ni CCM pekee hapa nchini yenye kujuwa Mahitaji ya watanzania na kuyapatia kipaombele,Ni CCM pekee yenye kubeba Sera na ajenda za kugusa maisha ya watanzania.

Ndio sababu ya kuwa chaguo la watanzania kila uchaguzi,ndio sababu ya kupigiwa kura na kupita kwa kishindooo katika kila uchaguzi,ndio sababu ya Kuendelea kuaminika na kupendwa na mamillion ya watanzania,ndio sababu ya kuwa na wanachama wengi kuliko chama chochote kile hapa nchini,ndio sababu ya kuwa na uwezo ya kupenyeza mikono yake kwa vyama vyote nchini,ndio sababu ya kuwa na ushawishi katika mioyo ya watanzania.

Ndio sababu ya kuyateka makundi yote hapa nchini,ndio sababu ya vikao vyake kuteka mijadala ya kisiasa hapa nchini ,ndio sababu watanzania kujenga Imani kubwa kwa CCM na viongozi wake,ndio sababu kuwa chuo Cha malezi ya uongozi na viongozi wa Leo na kesho kwa Taifa letu,ndio sababu ya ofisi zake kuwa Tumaini la wanyonge na waliokata Tamaa au kuonewa au kudhurumiwa haki mahali popote pale, ndio sababu Hakuna Jambo lolote au ajenda au Sera au hoja au sheria au mswaada unaoweza kupita au kukubalika ikiwa CCM na wanaccm hawajaridhia na kukubali kutoa baraka zao.

Kwa hakika ni CCM pekee iwezayo kuliongoza Taifa letu na Ni CCM pekee ambapo Taifa letu linakuwa katika mikono salama, ndio maana huwezi ukakuta Wala kuona Wala kusikia kauli za kuhatarisha usalama wa Taifa letu zikitoka katika vinywa vya viongozi wa CCm, maana wanajuwa dhamana kubwa waliyo nayo ya jasho ,machozi na Damu katika kuhakikisha Taifa letu linakuwa salama muda wote.

Wakati ni kawaida kusikia kauli za ajabu ajabu zilizokosa uzalendo za kuhamasisha uvunjifu wa amani na machafuko hapa nchini kutoka katika vinywa na midomo ya viongozi wa upinzani. Ni Rahisi kusikia kiongozi wa upinzani akiwa jukwaani akitamka kuwa nchii hii haitatawalika au Moto utawaka au hapatakalika hapa nchini au akitamani umwagikaji wa Damu utokee hapa nchini ili yeye na chama chake wapate madaraka.

Hayo yanatokea na kusikika kutoka upinzani kwa kuwa hawana uchungu Wala uzalendo na Taifa letu, wao na familia zao mawazo yao ni juu ya matumbo Yao na maslahi yao binafsi, hawawazi juu ya watanzania wanyonge wasioweza kupeleka watoto wao marekani na ulaya ,hawawazi juu ya wajane na yatima, hawawazi juu ya wazee na akina mama,wao wapinzani hayo hayawahusu Wala hawana habari nayo ndio maana Dua zao na maombi Yao wakati wote ni hasi, ndio maana hata watoto wao uraia wao Ni wa marekani na ulaya na hivyo kukosa uzalendo na moyo wa kulipenda kwa dhati Taifa letu.

Ndio maana nasema kuwa CCM Inatosha na inastahili Kuendelea Kuliongoza Taifa Letu kwa kuwa inajuwa uzito wa kiapo ilichoapa katika kulilinda, kulipigania na kulitetea Taifa letu,viapo hivi vizito na vya kutetemesha na vya kujenga uzalendo ndani ya moyo viongozi wa upinzani hawana na hawajawahi kuapa popote na hawajuwi uzito wake Wala umuhimu wake juu ya maisha ya watanzania na mstakabali waTaifa letu.

CCM Itaendelea kuwa chama kiongozi , Tegemeo la watanzania, Tumaini la watanzania, mfano wa kuigwa, suluhisho la kero na changamoto, mboni ya watanzania,jicho la Taifa letu maana ikizima CCM ni sawa na kuzima kwa Taa ya Taifa jambo litakaloleta Giza kwa Taifa na kuitetemesha nchi na Taifa, hakuna mtanzania mwenye akili Timamu ambaye atataka Hilo litokee kwa kuitoa CCM madarakani.

Ni lazima CCM ilindwe kwa nguvu zote na watanzania wazalendo Kusalia madarakani, na tayari Watanzania Wameonyesha dhamira hiyo ya kuilinda CCM kwa nguvu zao zote kwa kuipigia Kura kila uchaguzi na kuiunga mkono serikali Yake, ndio maana huwezi ukasikia chochote kilichokibaya kikifanikiwa katika Taifa letu, maana watanzania hawapo Tayari na hawaji kujaribu wala kuthubutu kuvuruga amani ya Taifa letu kwa mikono yao wenyewe.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
Huko ndio ujinga ulionao kichwani ukidhania wengine ni kibamia!
 
Kumbe uliufuata ule ushauri niliokwambia ukalime zako tu sio? Lakini nnachokusifu asee una roho ngumu
si mchezo yaani kifupi unaishi kwa matumaini kwamba ONE DAY yes, umeona kimya ikabidi umwage kabisa na m-pesa!!? Utakuja utekwe na wahafidhina wa chama chenu shauri yako.
Uhai wa mwanadamu upo mikononi mwa Mwenyezi MUNGU mwingi wa Rehema na fadhila,na yeyote amwagaye au kujaribu kutoa uhai au Damu ya asiye na hatia au kumtesa asiye na hatia atapata pigo kubwa kutoka kwa Mwenyezi MUNGU,ataishi kwa mateso ya moyo angali yu hai,Damu ya mtu au watu au mateso ya mtu au watu wasio na hatia yatamlilia muda wote,njozi zake mtesi zitakuwa za maluwe luwe na mbaya,kilio Chao wasio na hatia kitaendelea kusikika masikioni mwake afanyaye hayo au kubariki mateso kwa wasio na hatia na sauti za wasio na hatia zitamfikia Mwenyezi MUNGU na ghadhabu yake Mwenyezi MUNGU itakuwa Ni kubwa Sana na adhabu yake itakuwa Ni ya Moto wa Milele yenye kuleta majuto.

Mwenyezi MUNGU ataendelea kunilinda ,kunitetea na kunipigania kwa kuwa Sina hatia na Wala sitendi jinai Wala vitendo vya uhaini au ugaidi au kuhatarisha usalama wa Taifa langu. Usimtese wala kuwaza kumtesa mtu kwa sababu ya madaraka au cheo au mamlaka,hivi Ni vya kupita tu na vitabaki Duniani,lakini pia Mwenyezi MUNGU hawezi kukubali mtesi kwa watu wasio na hatia aendelee kuishi Duniani na Kuendelea kuangamiza au kutesa watu wake wasio na hatia,

Utaua utatesa lakini nawe mwisho wako utawadia ambapo hutakuwa na uwezo wa kukikimbia kifo Wala kuukwepa mkono wa Mwenyezi MUNGU,Tenda mema ukumbukwe kwa mema na kutetewa hata ukiwa huna uwezo wa kunena na kufumbua kinywa chako au macho yako kusoma yaandikwayo juu yako
 
CCM Itaendelea kuwa chama kiongozi , Tegemeo la watanzania, Tumaini la watanzania, mfano wa kuigwa, suluhisho la kero na changamoto, mboni ya watanzania,jicho la Taifa letu maana ikizima CCM ni sawa na kuzima kwa Taa ya Taifa jambo litakaloleta Giza kwa Taifa na kuitetemesha nchi na Taifa, hakuna mtanzania mwenye akili Timamu ambaye atataka Hilo litokee kwa kuitoa CCM madarakani.
waambie CCM wanzako kwamba wakati wa uchaguzi waache:-
Kuteka watu, kukata majina ya wagombea kwa sababu za kijinga, kuwabambikizia wagombea na viongozi wao kesi zisizo na miguu wala kiuno, kufunga ofisi za umma siku ya kurudisha form yaani kwa kifupi mbinu za kihuni kihuni. Chama makini hakiwezi kufanya mambo haya.

Chama bora cha siasa hakijinadi bali wananchi wenyewe wanaona matendo yake na wanakifuata kwa hiari yao.
 
CCM imeonyesha ubora katika kila nyanja ndio maana watanzania kwa wingi wao wanaendelea kujiunga CCM ,kuiunga mkono,kuipigia Kura,kuinadi kwa utekelezaji wake Bora wa miradi mbalimbali ya kimkakati na kuwa nayo katika hatua zote za ujenzi wa Taifa letu
 
Wacha uongo wewe ati utekelezaji vibaka wakubwa ninyi.
Kwa kifupi umasikini wa mtanzania umesabishwa kwa asilimia zote na chama chako hata wewe unajifanya kukipigania humu lakini wenye maono tunajua kabisa unachokitafuta ni nini.
 
CCM imefanya juhudi kubwa na inaendelea na jitihada za kumuinua mtanzania kiuchumi,Ni kupitia CCM na serikali yake unaona Sasa wakulima wakinufaika na kilimo Chao,miradi ya kimkakati inajengwa maeneo mbalimbali,huduma muhimu na kwa Bora zimesogezwa karibu ya mwananchi,Elimu bure Hadi kidato Cha sita ili watoto kutoka familia za vipato vya Aina zote wapate kutimiza Ndoto zao pasipo vikwazo,mikopo ya Elimu ya juu imeongezeka na kuwafanya wanafunzi wengi kupata Elimu hiyo bil kikwazo Cha kiuchumi kutoka katika familia zao, uwekezaji uneongezeka hapa nchini na hivyo kutoa fursa za ajira na kuongeza mapato ya kikodi,
 
Tatizo wala sio ccm wala chadema wala CUF, tatizo ni mifumo iliyopo.

Bila kuwa na mifumo bora, hata kiingie chama cha malaika, bado tutakamatana mashati.
Mifumo yetu Ni Bora na ndio maana tumefika hapa tulipo kimaendeleo na kiuchumi ,mahali ambapo kila mtanzania anajiona Anayo nafasi ya kutimiza Ndoto zake
 
Kijana wa hovyo kabisa.
unakuja hapa na njaa zako jobless na kuandika Pumba hapa,

Afu eti unaandika na namba ili upate chchte kitu, Kama una elimu haijakusaidia bado ila nahisi kw akili hii sidhani kam una madarasa 3 kichwani
 
Mbona umepaniki kiasi hicho,Tuliza Akili kwanza maana utapata madhara ya moyo na akili
 
Ndugu zangu watanzania,

Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema kwa kujiamini na bila hofu yoyote ile kuwa CCM Inatosha Kuendelea Kuliongoza Taifa Letu Kama chama Tawala,kwa kuwa imeonyesha ushupavu ,umadhubuti ,uimara,ujasiri ,uhodari ,uzalendo ,umakini,utayari na mikakati Bora katika kuwahudumia na kuwatumikia watanzania.

CCM ndio chama pekee kilichoonyesha na kujiweka karibu na wananchi, kuwasikiliza na kuwapatia majibu ya maswali Yao, Ni CCM pekee iliyoonyesha usikivu kwa sauti za makundi yote katika jamii,Ni CCM pekee iliyoonyesha kuwa na uchungu na maisha ya watanzania,Ni CCM pekee hapa nchini yenye kujuwa Mahitaji ya watanzania na kuyapatia kipaombele,Ni CCM pekee yenye kubeba Sera na ajenda za kugusa maisha ya watanzania.

Ndio sababu ya kuwa chaguo la watanzania kila uchaguzi,ndio sababu ya kupigiwa kura na kupita kwa kishindooo katika kila uchaguzi,ndio sababu ya Kuendelea kuaminika na kupendwa na mamillion ya watanzania,ndio sababu ya kuwa na wanachama wengi kuliko chama chochote kile hapa nchini,ndio sababu ya kuwa na uwezo ya kupenyeza mikono yake kwa vyama vyote nchini,ndio sababu ya kuwa na ushawishi katika mioyo ya watanzania.

Ndio sababu ya kuyateka makundi yote hapa nchini,ndio sababu ya vikao vyake kuteka mijadala ya kisiasa hapa nchini ,ndio sababu watanzania kujenga Imani kubwa kwa CCM na viongozi wake,ndio sababu kuwa chuo Cha malezi ya uongozi na viongozi wa Leo na kesho kwa Taifa letu,ndio sababu ya ofisi zake kuwa Tumaini la wanyonge na waliokata Tamaa au kuonewa au kudhurumiwa haki mahali popote pale, ndio sababu Hakuna Jambo lolote au ajenda au Sera au hoja au sheria au mswaada unaoweza kupita au kukubalika ikiwa CCM na wanaccm hawajaridhia na kukubali kutoa baraka zao.

Kwa hakika ni CCM pekee iwezayo kuliongoza Taifa letu na Ni CCM pekee ambapo Taifa letu linakuwa katika mikono salama, ndio maana huwezi ukakuta Wala kuona Wala kusikia kauli za kuhatarisha usalama wa Taifa letu zikitoka katika vinywa vya viongozi wa CCm, maana wanajuwa dhamana kubwa waliyo nayo ya jasho ,machozi na Damu katika kuhakikisha Taifa letu linakuwa salama muda wote.

Wakati ni kawaida kusikia kauli za ajabu ajabu zilizokosa uzalendo za kuhamasisha uvunjifu wa amani na machafuko hapa nchini kutoka katika vinywa na midomo ya viongozi wa upinzani. Ni Rahisi kusikia kiongozi wa upinzani akiwa jukwaani akitamka kuwa nchii hii haitatawalika au Moto utawaka au hapatakalika hapa nchini au akitamani umwagikaji wa Damu utokee hapa nchini ili yeye na chama chake wapate madaraka.

Hayo yanatokea na kusikika kutoka upinzani kwa kuwa hawana uchungu Wala uzalendo na Taifa letu, wao na familia zao mawazo yao ni juu ya matumbo Yao na maslahi yao binafsi, hawawazi juu ya watanzania wanyonge wasioweza kupeleka watoto wao marekani na ulaya ,hawawazi juu ya wajane na yatima, hawawazi juu ya wazee na akina mama,wao wapinzani hayo hayawahusu Wala hawana habari nayo ndio maana Dua zao na maombi Yao wakati wote ni hasi, ndio maana hata watoto wao uraia wao Ni wa marekani na ulaya na hivyo kukosa uzalendo na moyo wa kulipenda kwa dhati Taifa letu.

Ndio maana nasema kuwa CCM Inatosha na inastahili Kuendelea Kuliongoza Taifa Letu kwa kuwa inajuwa uzito wa kiapo ilichoapa katika kulilinda, kulipigania na kulitetea Taifa letu,viapo hivi vizito na vya kutetemesha na vya kujenga uzalendo ndani ya moyo viongozi wa upinzani hawana na hawajawahi kuapa popote na hawajuwi uzito wake Wala umuhimu wake juu ya maisha ya watanzania na mstakabali waTaifa letu.

CCM Itaendelea kuwa chama kiongozi , Tegemeo la watanzania, Tumaini la watanzania, mfano wa kuigwa, suluhisho la kero na changamoto, mboni ya watanzania,jicho la Taifa letu maana ikizima CCM ni sawa na kuzima kwa Taa ya Taifa jambo litakaloleta Giza kwa Taifa na kuitetemesha nchi na Taifa, hakuna mtanzania mwenye akili Timamu ambaye atataka Hilo litokee kwa kuitoa CCM madarakani.

Ni lazima CCM ilindwe kwa nguvu zote na watanzania wazalendo Kusalia madarakani, na tayari Watanzania Wameonyesha dhamira hiyo ya kuilinda CCM kwa nguvu zao zote kwa kuipigia Kura kila uchaguzi na kuiunga mkono serikali Yake, ndio maana huwezi ukasikia chochote kilichokibaya kikifanikiwa katika Taifa letu, maana watanzania hawapo Tayari na hawaji kujaribu wala kuthubutu kuvuruga amani ya Taifa letu kwa mikono yao wenyewe.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
Ubinafsi na ujinga vikiungana hufanya kitu kimoja hatari sana.
 
Unalima Nini? Sina mtaji rafiki.nisaidie na Mimi nipate shamba

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kama huna mtaji ,tafuta awenzio wenye Nia ya dhati ya kulima muunde kikundi ili mkaombe mkopo Halmashauri,Ila mfuate na kuzingatia taratibu zote ,lakini pia waweza Anza na ulicho nacho mkononi ambazo Ni nguvu zako,tafuta vibarua kupitia maeneo kunakojengwa miradi iwe ya serikali au binafsi ukaombr kazi za site ambazo huwa zinapatikana,kile ukipatacho utakuwa unakitunza kiasi Kama akiba,kikubwa usichague kazi na kusema hizi Ni kazi za wasomi na hizi Ni za wasio Soma,Wala usimuonee mtu aibu katika utafutaji kwa kusema na kuwaza kuwa nitaonekanaje na watu watasemeje wakiisikia nafanya kazi hii,

Maisha ni mapambano hata Mimi sichagui kazi katika kujitafutia visenti maana siyo kila wakati upo shambani tu,Kuna wakati inatakiwa utafute vibarua ili ujipatie pesa, katika maisha inakubidi kuwa mvumilivu,mwenye Subira,bidii ya kazi ,kujitoa na kujitolea kimoyo,kujituma,mwadilifu na mwaminifu ukipewa kazi na mtu,mchapa kazi,usiwe mlalamishi kwa kila kitu,,
 
Naona siku hizi umeamua uweke namba ya simu kabisa, urushiwe hata vocha ya kujiunga bando uingie JF uendelee kusifia huku wenzako wakiendelea kula kwa urefu wa kamba zao.
Huyu ni kijana alikuwepo pale mwl nyerere memorial wanapaita chuo kikuu. Masking akiashinda lumumba akiamini kwamba ukivaa ile mishati ya kijani unakuwa bora na mtanzaniq zaidi kuliko nyerere
 
Back
Top Bottom