PostGE2025 CCM inatamba na vigogo wa CHADEMA. Joel Nanauka, kijana mzalendo kutoka CHADEMA na badae kuibukia CCM na leo ni waziri

PostGE2025 CCM inatamba na vigogo wa CHADEMA. Joel Nanauka, kijana mzalendo kutoka CHADEMA na badae kuibukia CCM na leo ni waziri

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Bawabu wa pili

Senior Member
Joined
Nov 14, 2025
Posts
147
Reaction score
432
JOEL NANAUKA ALIONA ISIWE TABU

Waziri wa vijana, Mhe. Joel Nanauka aliwahi kugombea ubunge wa Jimbo la mtwara Mjini mwaka 2015 kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo [Chadema] lakini aligonga mwamba akaona isiwe tabu mwaka huu 2025 ameshinda kupitia chama cha Mapinduzi [CCM].


Na hii ikupe picha kuwa CHADEMA ina mawazo na maono mazuri sana kwa taifa ambayo yanaweza kuwashawishi watu wengi sana ambao leo hii CCM inatamba nao, CHADEMA ndio chama pekee ambacho kilikuwa kinamiliki vichwa vya kwenda na watu wenye zao. Usisahau ya kuwa Profesa Kitila Mkumbo kabla ya kuwa ACT wazalendo alikuwa mwana CHADEMA lakini sasahivi yuko CCM

Uhalisia ni kwamba CCM haina chochote zaidi ya dola, hawana ushawishi, mawazo yao yameshapitwa na wakati ndio utaona inatumia nguvu ya dola kuwavuta watu na sio ushawishi na siasa safi. Mimi sio nabii ila siku CCM ikang'oka madarakani hata kwa mara moja, nawaambia hivi leo haitarudi tena na ndio utakuwa mwisho wake

1763621215007.png
 
Kutana na bi deaf frog,
anapatikana katika kisimbuzi cha east africa,
chanel namba +255 inaitwa tanzania,
Hapo utajionea vituko vya kila aina vya huyo bibi inasikitisha mno.
 
Back
Top Bottom