CCM inarudi kuwa imara maradufu

CCM inarudi kuwa imara maradufu

KIBE

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
943
Reaction score
186
Kwa kweli waliokuwa wanasema kikwete ccm itamfia mikononi mwake imekula kwao... hii ndo ccm ninayoijua mimi big up jk,kinana,nape,migiro kazi kweli mmeifanya na mnaifanya na mumeona jinsi wananchi walivyona matumaini na imanj na ccm na serikali... zungukeni nchi nzima toeni sumu za machafuko chuki uongo zilizosemwa na kina lema sugu mbowe slaa msigwa
 
Ungeandika taratibu ili tuelewe ulichoandika,unawahi wapi? Au mliandikiwa mkaambiwa atakaewahi atapewa zawadi nono? ccm ipi? Hii ya wauza unga na wabakaji wa yatima?
 
Ccm ni mijizi mikubwa na wewe uliyepost akili zako ni za division 5
 
CCM ya sasa ni sawa na mwanamke aliyeliwa mbele na nyuma halafu akatelekezwa. Imejichokea hovyo!
 
Kwa kweli waliokuwa wanasema kikwete ccm itamfia mikononi mwake imekula kwao... hii ndo ccm ninayoijua mimi big up jk,kinana,nape,migiro kazi kweli mmeifanya na mnaifanya na mumeona jinsi wananchi walivyona matumaini na imanj na ccm na serikali... zungukeni nchi nzima toeni sumu za machafuko chuki uongo zilizosemwa na kina lema sugu mbowe slaa msigwa
Toa facts. Yaani watu wanaopenda CCM akili zenu zinatoa definition ya umasikini wa Tanzania. Kwa akili kama hizi kuongoza nchi hatuwezi kufika popote
 
CCM haikubaliki!!! Watanzania tushirikiane kuitokomeza!!!!!
 
Chama cha wachaga ndio hatari kuliko vitu vyote Tanzania hii
 
Upuuuuzi hatudanganyiki!CCM hamna jipya kwenye hii nchi!!Mwisho wenu 2015 hata mruke vipi kazi imekwisha!!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
upo ktk reverse gear nini?Sasa hivi CCM ni wapinzani na washabiki wakubwa sana wa CDM.
 
Tatizo la CCM sio kupiga debe wala upinzani ni rushwa na maendeleo. Watu wanataka maendeleo na kukomeshwa kwa rushwa basi!!!
 
Watanzania masikini wa vijijini wengi hawana chochote wakiambiwa kuna sherehe wanapewa chakula cha bure, nguo za bure wataenda tu lakini haina maana hawjui ukweli wa mambo kwamba kunawatu wanakula pesa zao na mapato ya nchi, ya kwamba viongozi wanajali maslahi yao kuliko wao
 
Kwa kweli waliokuwa wanasema kikwete ccm itamfia mikononi mwake imekula kwao... hii ndo ccm ninayoijua mimi big up jk,kinana,nape,migiro kazi kweli mmeifanya na mnaifanya na mumeona jinsi wananchi walivyona matumaini na imanj na ccm na serikali... zungukeni nchi nzima toeni sumu za machafuko chuki uongo zilizosemwa na kina lema sugu mbowe slaa msigwa
Ukiona kijana kama wewe anaitetea na kuishabikia magamba, jua akiwa mzee atakuwa mchawi.endelea na ngonjera zenu na mzee wa tembo.
 
Kwa kweli waliokuwa wanasema kikwete ccm itamfia mikononi mwake imekula kwao... hii ndo ccm ninayoijua mimi big up jk,kinana,nape,migiro kazi kweli mmeifanya na mnaifanya na mumeona jinsi wananchi walivyona matumaini na imanj na ccm na serikali... zungukeni nchi nzima toeni sumu za machafuko chuki uongo zilizosemwa na kina lema sugu mbowe slaa msigwa
mkuu ccm sio chama cha kuendelea kuiongoza tanzania, wamejaa wasanii watupu, kina nepi...wanakula mamilioni kwa kupitia mgongo wa masikini wa kitanzania. Kwa mfano kutekeleza ilani ya maisha bora kwa kila mtanzania imekuwa shughuli pevu!
 
Kwa kweli waliokuwa wanasema kikwete ccm itamfia mikononi mwake imekula kwao... hii ndo ccm ninayoijua mimi big up jk,kinana,nape,migiro kazi kweli mmeifanya na mnaifanya na mumeona jinsi wananchi walivyona matumaini na imanj na ccm na serikali... zungukeni nchi nzima toeni sumu za machafuko chuki uongo zilizosemwa na kina lema sugu mbowe slaa msigwa
Kwani inarudi toka wapi? Wewe kuona watu kwenye mikutano ya Kinana wale wanao sombwa na malori unafikiri inarudi pole sana.Kudanganywa inaruhusiwa
 
Wachaga nao ni watanzania, siyo? Au mama yako alikwambiaje?
Nawashangaa wanafikiri wakisema cdm cha wachagga watu wataichukia.Nikete za kijinga.Kama wanafaa kuongoza kunatatizo gani.Mbona serikali ya ccm imejaa waislamu watupu mbona hilo hawasemi.Ni udogo wa mawazo
 
Back
Top Bottom