Hata hivyo MTU yeyote Mzima na mwenye Akili na Kiufahmu anajua hiyo ni MICHEZO yao huko CCM na Dawa yakweli ya kukomboa hili Taifa kwa Kizazi cha sasa si Kushughulika na Lowasa ila ni Kushugulika CCM.. Kwani CCM ni GAMBA ZITO kuliko Lowasa na Kikwete weka pamoja!