CCM inaogopa Katiba mpya

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,445
4,705
Kama sijakosea Rais Mstaafu Awamu ya 4 ndiye aliyeanzisha mchakato wa kupata Katiba Mpya.

Ilani ya CCM ya 2015/2020 ilitamka kuendeleza Mchakato. Leo ni 2020 hatujaona huo mchakato kuendelea.

Je, ni sahihi kusema CCM inaiogopa Katiba Mpya, mchakato ulioanzishwa na Mwenyekiti wake Mstaafu?

Tunaomba tujibiwe kwani tutaliuliza wakati wa kampeni.
 
Kama CCM wanaigopa katiba mpya Basi waambie TLP, NCCR, CDM, CHAUMA na CUF waunde hiyo katiba mpya unayoitaka wewe.

Na kwanini wewe uteseke kisa jirani kuachana na kilimo na kujikita kwenye Mambo Mengine?
 
Back
Top Bottom