- Thread starter
- #21
Inawezekana Ndugu zako hawafanyi kazi serikalini,au hawajui kinachendelea,kama wako kwenye level ya kufanya maamuzi(executive level).then wamekudanganya ili usiwaharibie kazi zao.maana wamejua wewe ni msema hovyo..
Nina ndugu zangu wanne serikali nimewapigia simu sasa hivi baada ya kusoma habari hii na wako idara tofauti tofauti na marafiki zangu wawili wamesema hakuna jambo kama hilo huko serikalini. wanasema huo ni uongo hakuna jambo kama hilo serikalini ni propaganda za kueneza kampeni chafu kwa ajili ya kutafuta ushindi.
UPENDE USIPENDE,hakuna Wizara iliyopewa OC inayozidi 10M,hakuna kitengo ambacho hakijaamriwa kutoa fedha kuchangia CCM.kama we mbishi waulize wafanyakazi wa ikulu juu ya vikao vya kina KINANA mwishoni mwa wiki huwa vinasemaje(probably huna Access hiyo).
Kama wewe si mnufaikaji wa ufisadi/CCM amka sasa tafadhali.