CCM inakaribia milestone muhimu

CCM inakaribia milestone muhimu

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,729
Reaction score
5,637
Sasa ndiyo watakaogombea ubunge watatangazwa kwa hiyo tutegemee nchi itakuwa tayari kwa Uchaguzi. Kama CCM imeanza vyema kutokea mchakato wa Uteuzi ulivyoanza,kama CCM imekuwa na sera nzuri toka Chama kilipoanzishwa CCM itakuwa salama kama siku zote.

Bado swala la Chadema linakuwa kizungumkuti kwa wananchi wengi. Haifikiriki kwamba Chadema haitashiriki kwenye Uchaguzi. Lakini hivyo ndivyo inavyoelekea kutokea.
Labda wiki ijayo baada ya hizi heka heka,utakuwepo muda wa kuwafikiria Chadema.
Kesi ya Lissu inaelekea kwamba inakaribia kuanza. That would seem to indicate kwamba Lissu hatakua mgombea katika Uchaguzi.

Safu za Uchaguzi zinajipanga wiki hii. Na Chadema haijashirikishwa.
Chadema ikishiriki katika Uchaguzi at all itakuwa baada ya Uchaguzi kuanza.

And what other contingencies are there? Wakikatwa watu katika Uchaguzi ndani ya CCM wanaweza kuhamia vyama vingine ( in the blink of an eye)?.
Lakini swala la watu kutoka CCM labda siyo unpopularity of the party. Ina maana tu,makada capable wapo wengi CCM na kuwachagua wote haiwezekani.

Kuhusu Polepole mimi bado sijamsikiliza. Lakini nadhani anasema mbunge anatoa maoni Bungeni kuhusu Jimbo lake baada ya extensive consultation na watu jimboni kwake. Kwa hiyo imekuwaje wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma wamediriki kutoka maoni ya wana CCM bila kwenda kuwauliza kwanza?
Lakini maneno ya Polepole yatabakia hivyo tu, maneno. CCM ni taasisi kubwa. Sijui itataka kuamrushwa na Polepole.
 
Back
Top Bottom