CCM inakaribia kufa?

CCM inakaribia kufa?

Ivi gari ambayo imeshang'oka tair za mbele na kibahati ikayumba kidogo na kupoteza njia, tutegemee tena safari apo?
 
Ili maandiko yatimie hayana budi haya kutokea. Mbinu ovu na hatarishi kwa umoja wa wa taifa.Daima chuya hutegwa na mchele/ wali wakati muafaka.
 
Dalili za adui yako kuchoka ni yeye kuanza kutumia kila aina ya nyezo kukudhibiti, Tyson alimuuma sikio Evader baada ya kuona ngoma ni nzito.
 
Back
Top Bottom