CCM inaigopa CHADEMA

Ccm isokuwepo inawezaje kuiogopa Chadema?

Sema Dola inaiogopa CHADEMA maana wanaogopa kumulikwa.
 
Utashika vipi dola unasusia uchaguzi?
Em tusaidie, unashinda vipi uchaguzi ambao Tume inateuliwa na Mshindani wako, Mkuu wa Polisi anateuliwa na Mshindani wako, Mkuu wa Jeshi, Mkuu wa Usalama, Jaji wa Mahakama Kuu wote wanateuliwa na Mshindani wako?

Tupe muujiza wa kushinda hapo?
 
Chawa na takataka.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…