Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,713
- 50,046
Ukiangalia na kuchunguza Kwa makini hali ya mvurugiko wa kisiasa nchini kwetu, utagundua ilianza mara baada tu ya CHADEMA kumchagua Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti wao Taifa.
Mpaka leo ingawa CHADEMA imezuiliwa kufanya siasa na kuendelea kushambuliwa kila Kona, lakini unaona kabisa kuwa CCM bado hawajiamini kama wapo salama CHADEMA ikiendelea kuwepo.
Kuna watu wanayapenda Maigizo ya wana CCM hata kama wanajua ni UONGO.
Hebu fikiria zama zile za mazingaombwe, mfanya mazingaombwe ambao mara nyingi walikuwa wanajiita "profesa" au "dokta" anaweka kiingilio ili kuingia kwenye hayo mazingaombwe.
Lakini anapofanya michezo yake huonyesha jinsi anavyoweza kugeuza karatasi liwe pesa.
Sasa kama ana uwezo wa kugeuza karatasi kuwa pesa kwa nini mlangoni aliweka kiingilio?
CCM Kila siku inajionesha kuwa ina uwezo wa kufanya kila kitu na kujisifu chama Chao ni kikubwa na imara Afrika nzima.
Kama hizo sifa wanazosema CCM kweli wanazo, inakuwaje wanaigopa CHADEMA chama kisicho na dola?
CCM inayojisifu kwa uimara wake inaweweseshwaje na CHADEMA isiyo na Wenyeviti wa vitongoji, vijiji na mitaa wengi kuliko wao?
CCM inayojinasibu kwa mbwembwe kuwa wenyewe ni chama cha kihistoria kinakuwaje kinatumia dola kupambana na chama kilichoanzishwa mwaka 1993?
Ndiyo nani hao?Kwani makafiri yanasemaje?
CCM haiwezi kuingia kwenye uchaguzi ambao na CHADEMA inashiriki.MSIPOELEWA HILI SWALA MJIANDAE KUWA WASINDIKIZAJI KILA UCHAGUZI UKIFIKA.
Mkuu wao ELI COHENNdiyo nani hao?
CCM haiwezi kuingia kwenye uchaguzi ambao na CHADEMA inashiriki.
Kakazwe naona mavi yameisha we jingaKwani makafiri yanasemaje?
SAWA ILA MNABIDI KUELEWA MALENGO YA CCM
WAO NI TROPHY CHASER
YAANI CCM NI KAMA BARCELONA INAPAMBANIA UBINGWA WA UEFA NA LIGI KUU
NA CHADEMA NI KAMA MBEYA CITY AU MAJIJI MNAPAMBANA ILI MSISHUKE DARAJA.
Utashika vipi dola unasusia uchaguzi?CHADEMA siyo chama cha kiuchaguzi kama vile vingine CCM ikiwemo. CHADEMA ni chama kinachoamini kushika dola kwa Sheria na kanuni za haki ili kilete maendeleo kwa wananchi.
Kushinda uchaguzi kiharamu ni kushinda lakini hakuondoi uharama uliosababisha ushindi.
Anayebaka na asiyebaka wote hutenda tendo lilelile lakini mbinu zao humfanya mmoja awe mhalifu.
Umenena vyema na hueo ndio ukweli.Ukiangalia na kuchunguza Kwa makini hali ya mvurugiko wa kisiasa nchini kwetu, utagundua ilianza mara baada tu ya CHADEMA kumchagua Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti wao Taifa.
Mpaka leo ingawa CHADEMA imezuiliwa kufanya siasa na kuendelea kushambuliwa kila Kona, lakini unaona kabisa kuwa CCM bado hawajiamini kama wapo salama CHADEMA ikiendelea kuwepo.
Kuna watu wanayapenda Maigizo ya wana CCM hata kama wanajua ni UONGO.
Hebu fikiria zama zile za mazingaombwe, mfanya mazingaombwe ambao mara nyingi walikuwa wanajiita "Profesa" au "Dokta" anaweka kiingilio ili kuingia kwenye hayo mazingaombwe.
Lakini anapofanya michezo yake huonyesha jinsi anavyoweza kugeuza karatasi liwe pesa.
Sasa kama ana uwezo wa kugeuza karatasi kuwa pesa kwa nini mlangoni aliweka kiingilio?
CCM Kila siku inajionesha kuwa ina uwezo wa kufanya kila kitu na kujisifu chama Chao ni kikubwa na imara Afrika nzima.
Kama hizo sifa wanazosema CCM kweli wanazo, inakuwaje wanaigopa CHADEMA chama kisicho na dola?
CCM inayojisifu kwa uimara wake inaweweseshwaje na CHADEMA isiyo na Wenyeviti wa vitongoji, vijiji na mitaa wengi kuliko wao?
CCM inayojinasibu kwa mbwembwe kuwa wenyewe ni chama cha kihistoria kinakuwaje kinatumia dola kupambana na chama kilichoanzishwa mwaka 1993?
Kafiri kutoka UBENAKakazwe naona mavi yameisha we jinga
Tunaitaji kuripoti naona udini umekujaa sanaKafiri kutoka UBENA
Sie makafiri tunasema chei cheiKwani makafiri yanasemaje?
Kiongoz wa nyumba kumi za makafiri kutokea UBENA, umesema unataka kuniripot?Tunaitaji kuripoti naona udini umekujaa sana
Hakuna chama kinachoitwa ccm, ccm ilishakufa kitambo na ikabaki dola tu kwa maana ya polisi, tume, usalama na jeshi.CCM NI TROPHY CHASER NA SIO PROPAGANDA DOMINATOR.
MUDA HUU UPO UNA PLAY HER TUNES
MSIPOELEWA HILI SWALA MJIANDAE KUWA WASINDIKIZAJI KILA UCHAGUZI UKIFIKA.
Hakuna chama kinachoitwa ccm, ccm ilishakufa kitambo na ikabaki dola tu kwa maana ya polisi, tume, usalama na jeshi.
Hivyo vyombo ndivyo vimebaki kutangaza kwamba chama kilichoshinda ni ccm bila hata kuwepo kwa uchaguzi. Bure kabisa.
Mwisho wa ulimwengu ni lini?CCM IPO HAPO MPAKA MWISHO WA ULIMWENGU KWAKUWA INAPIKA WATU SMART AND INTELLIGENT