johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,149
PointlessMkuu wa mkoa na wilaya ni mtu aliyeaminiwa na Rais kuwa msaidizi wake mkuu katika eneo husika na hayupo pale kama darajani akichungulia fursa katika mihimili mingine.
RC wa Iringa mh Happi aliwahi kusema yeye ndiye rais wa mkoa akisimama maana yake ni kwamba mahali hapo amesimama Rais Magufuli.
Kinachonishangaza na ambacho sikielewi ni nini kipo juu zaidi kuaminiwa na Rais aliyeshinda kwa kura zaidi ya milioni 8 au kuaminiwa na wapiga wasiozidi elfu 10 jimboni?!!
Maendeleo hayana vyama!
Inashangaza kwa kweli!Nilishawahi kusikia kwamba wateule hawaruhusiwi kugombea nafasi yeyote ndani ya chama. Sasa hii sijui imekaaje?
Makonda - Kigamboni, Gambo - Ilala na Happi - Ubungo kiukweli Dar itabadilika!Hawa wateule wa Rais wamekuw na tabia ya kutumia nafasi zao kujiwekea nafasi ya kugombea ubunge.
Makonda, Gambo, Mnyeti na Happi wote wnwtwka ubunge.
NB:
silaa iliyobakia yaccm ni hiyo tu.
Mkuu,sababu ya kujinyonga itakuwa ni hiyo ya 'kuifikiria sana nchi yako'Hii nchi ukifikiria sana unawezajinyonga bila sababu
Ni utaratibu ktk CCM hakuna jipya.... Usijifanye hujui...Mkuu wa mkoa na wilaya ni mtu aliyeaminiwa na Rais kuwa msaidizi wake mkuu katika eneo husika na hayupo pale kama darajani akichungulia fursa katika mihimili mingine.
RC wa Iringa mh Happi aliwahi kusema yeye ndiye rais wa mkoa akisimama maana yake ni kwamba mahali hapo amesimama Rais Magufuli.
Kinachonishangaza na ambacho sikielewi ni nini kipo juu zaidi kuaminiwa na Rais aliyeshinda kwa kura zaidi ya milioni 8 au kuaminiwa na wapiga wasiozidi elfu 10 jimboni?!!
Maendeleo hayana vyama!
Huu utaratibu ulifutwa!Ni utaratibu ktk CCM hakuna jipya.... Usijifanye hujui...
Makonda - Kigamboni, Gambo - Ilala na Happi - Ubungo kiukweli Dar itabadilika!
marekebisho,Makonda Igoma,hapo hatowez mshike mshike wa watt wa mjinMakonda - Kigamboni, Gambo - Ilala na Happi - Ubungo kiukweli Dar itabadilika!
Usikariri mkuu....... Upepo umebadilika!marekebisho,Makonda Igoma,hapo hatowez mshike mshike wa watt wa mjin