johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,791
- 141,685
Mkuu wa mkoa na wilaya ni mtu aliyeaminiwa na Rais kuwa msaidizi wake mkuu katika eneo husika na hayupo pale kama darajani akichungulia fursa katika mihimili mingine.
RC wa Iringa mh Happi aliwahi kusema yeye ndiye rais wa mkoa akisimama maana yake ni kwamba mahali hapo amesimama Rais Magufuli.
Kinachonishangaza na ambacho sikielewi ni nini kipo juu zaidi kuaminiwa na Rais aliyeshinda kwa kura zaidi ya milioni 8 au kuaminiwa na wapiga wasiozidi elfu 10 jimboni?!!
Maendeleo hayana vyama!