CCM inafeli inaporuhusu wakuu wa mikoa na wilaya kugombea ubunge kwenye chaguzi ndogo

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,467
141,169
Mkuu wa mkoa na wilaya ni mtu aliyeaminiwa na Rais kuwa msaidizi wake mkuu katika eneo husika na hayupo pale kama darajani akichungulia fursa katika mihimili mingine.

RC wa Iringa mh Happi aliwahi kusema yeye ndiye rais wa mkoa akisimama maana yake ni kwamba mahali hapo amesimama Rais Magufuli.

Kinachonishangaza na ambacho sikielewi ni nini kipo juu zaidi kuaminiwa na Rais aliyeshinda kwa kura zaidi ya milioni 8 au kuaminiwa na wapiga wasiozidi elfu 10 jimboni?!!

Maendeleo hayana vyama!
 
Pointless
 
Hawa wateule wa Rais wamekuw na tabia ya kutumia nafasi zao kujiwekea nafasi ya kugombea ubunge.

Makonda, Gambo, Mnyeti na Happi wote wnwtwka ubunge.
NB:
silaa iliyobakia yaccm ni hiyo tu.
 
Makonda - Kigamboni, Gambo - Ilala na Happi - Ubungo kiukweli Dar itabadilika!
 
Basi ukiona hivyo ujue kule Bungeni kuna kitu kinono zaidi ya vile vikao anavyokaa na OCD,DSO,Mshauri wa Mgambo na kuchoma mashamba ya bangi tu kule wilayani
 
Mkuu wa mkoa na wilaya ni mtu aliyeaminiwa na Rais kuwa msaidizi wake mkuu katika eneo husika na hayupo pale kama darajani akichungulia fursa katika mihimili mingine.

RC wa Iringa mh Happi aliwahi kusema yeye ndiye rais wa mkoa akisimama maana yake ni kwamba mahali hapo amesimama Rais Magufuli.

Kinachonishangaza na ambacho sikielewi ni nini kipo juu zaidi kuaminiwa na Rais aliyeshinda kwa kura zaidi ya milioni 8 au kuaminiwa na wapiga wasiozidi elfu 10 jimboni?!!

Maendeleo hayana vyama!
Ni utaratibu ktk CCM hakuna jipya.... Usijifanye hujui...
 
Makonda - Kigamboni, Gambo - Ilala na Happi - Ubungo kiukweli Dar itabadilika!

Kinachowafanya wagombea ubunge ni kwakuwa wameshajua rais kafanikiwa kuweka mkono wa kuchezea box la kura, hivyo wana uhakika wa kutangazwa washindi no matter what. Iwapo kungekuwa na ushindani wa kweli wasingethubutu.
 
Rc na DC Vs Ubunge nani anaekuja goodtime? Ndiyo waafrica wengi tunacho kiwaza badala ya kuleta maendeleo kwa wananchi.....
 
tuna tatizo kubwa la kiuongozi katika nchi yetu, ndiyo maana tunasema tunahitaji katiba mpya...!! Mkuu wa Willaya ama Mkoa anapokuwa dawa kindakindaki wa chama unapata picha gani hapo?
 
Back
Top Bottom