tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,145
wa;;e watoto wamewapeleka bila kuwapa chakula walivyochoka kuzomea wakalala hakuna cha kutoa maoni wao kulala tuu chama mfu
mtafarijiana sana machademaukianzia hata kwenye suala la mavazi, namaliza mwezi wa pili sasa nipo wilayani kilolo sijamwona mwananchi akiwa na skafu ya ccm, kofia, au mzula wa ccm,, vijana ukiwaangalia wako na skafu zimeandikwa M4C,,,, WAZEE KWA VIJANA HAWATAKI KABISA KUSIKIA HABARI ZA CCM...sasa hali iko hiv japo haujawahi kufafanyika ata mkutano mmoja wa cdm tangu chama kianzishwe, JE HIZO OPERATION AMBAZO HUKU TUNAZISIKIA TU KWENYE TAARIF ZIKIFIKA HUKU SI NDO UTAKUA MWISHO WA CCM HUU WADAU.
ukianzia hata kwenye suala la mavazi, namaliza mwezi wa pili sasa nipo wilayani kilolo sijamwona mwananchi akiwa na skafu ya ccm, kofia, au mzula wa ccm,, vijana ukiwaangalia wako na skafu zimeandikwa M4C,,,, WAZEE KWA VIJANA HAWATAKI KABISA KUSIKIA HABARI ZA CCM...sasa hali iko hiv japo haujawahi kufafanyika ata mkutano mmoja wa cdm tangu chama kianzishwe, JE HIZO OPERATION AMBAZO HUKU TUNAZISIKIA TU KWENYE TAARIF ZIKIFIKA HUKU SI NDO UTAKUA MWISHO WA CCM HUU WADAU.

ccm hoyeeeeMi wanyalu siwaamini kabisa. Ni manazi ya ccm - ona uchaguzi wa madiwani majuzi (16/6) wilayani kilolo kata ya ng'ang'awe wamewapa maccm kura 686 na cdm ikaambulia kura 217.
Fanya utafiti kabla kuja humu jf